Sidhani kama jamaa atakuja toa ngoma kali kuizidi 100 kilos, hakika Ferre Gola ni MtunaNusu kwenye muziki.Kwa rhumba dunia nzima hakuna kama Ferre Gola, rhumba yoyote ya Congo ishindanishwe na 100 kilos pekee inatosha kumpa ushindi Ferre 'le padre'
Centieme Dossier ni bombaMayday kali...ila sikiliza na hizi
Centieme dossier
Seyo
Eternite
Travelling love
Mm binafsi namkubali sana Ferre Gola,jamaa ana sauti tamu sana na nyimbo zake ni kali mnoo kuliko hata za fally ipupa sema hana nyota tu.
Sikiliza nyimbo kama Realite,100 kilos,maboko pamba nk
Kwa rhumba dunia nzima hakuna kama Ferre Gola, rhumba yoyote ya Congo ishindanishwe na 100 kilos pekee inatosha kumpa ushindi Ferre 'le padre'
Hii kitu ni Balaa tupuMkuu Public Enemy hakika JB Mpiana aliitendea haki ngoma hii 48 Heures gecoco- JB Mpianna
Ni hatari na nusu...Hii kitu ni Balaa tupu
Kwakweli hata mimi Ferre kwangu ni zaidi ya FallyKwenye kipengele cha Rhumba kwa maoni yangu binafsi naenda na Ferre Gola le padre,
Fally ni wa moto tena moto kweli kweli, Mayday unaweza kusikiliza 24/7 bila kuchoka ila Ferre is clear kwa masikio yangu.
Ni kama battle ya Messi(Ferre) na Ronaldo(Fally).
Mm binafsi namkubali sana Ferre Gola,jamaa ana sauti tamu sana na nyimbo zake ni kali mnoo kuliko hata za fally ipupa sema hana nyota tu.
Sikiliza nyimbo kama Realite,100 kilos,maboko pamba nk
May day ni kali,ila kwa upande wangu naikubali sana attente,associe,then may day na une minute
Sidhani kama yupo hai,Kumbe Chilamwina ni mkongo? Nilikua najua ni mkenya.
Yah ni kweli Feree yupo juu siyo kwenye Rhumba tu ata kwenye kuvaa ana jua kuvaa na ana pendeza.Kwa rhumba dunia nzima hakuna kama Ferre Gola, rhumba yoyote ya Congo ishindanishwe na 100 kilos pekee inatosha kumpa ushindi Ferre 'le padre'