Shikamoo 'Fundi' Khalid Aucho na tafadhali endelea hivyo hivyo tu kuwaweka Yanga SC wote Kiganjani na Kuwafanya vile utakavyo

Manara ana gundu yule alipokua simba migogoro kila siku kaja yanga majungu na migogoro haviishi
 
Nina wasiwasi kama huyu mtoa mada ni mwanaume kweli... Ni kama hana golikipa golini kwake.
 
Acha upumbavu simba hawana hizo fedha za kumlipa aucho

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 

Hahaha Mkuu
Subiria Mkataba kati ya gSM na Tfff uanze Kufanya Kazi Refreee,Lazmen woote watalipwa poshoo na Gsm kulingana na Mkataba ulioingiwa?...hii nimeota tuu na hii ndio itasababisha ubingwa uingie Jangwani Mwaka huu Over[emoji3516][emoji851][emoji41]
 
Ndio maana ulifukuzwa kazi na kufeli course work chuo na kurudia mwaka mzima sababu ya ujinga kama huu..

Popoma wahed
 
Wenye kazi wanapata wapi mda wa kuandika Utopolo km huu
Kwahiyo na Wewe hiyo Kazi yako ya Kushikilia na Kuuinamia Ukuta wa Berlin huku Ukiuza Mafuta Laini ya Mgando ndiyo ya Kujivunia hivi / hivyo?
 
Ndio maana ulifukuzwa kazi na kufeli course work chuo na kurudia mwaka mzima sababu ya ujinga kama huu..

Popoma wahed
Weka hapa Kazi niliyofukuzwa na nakuruhusu uitaje hadi Kampuni husika pia ukiweza na Boss wangu.

Weka hapa upesi sana tafadhali Course Work ambayo nilifeli na kurudia mwaka Chuo Kikuu.

Ukimaliza mwambie huyo anayekupa details zangu akupe vizuri kwani nyingine kaziacha.

Ndiyo tatizo la Kuzaliwa Kwako katika Familia Duni ( ya Kimasikini ) huku Ukirithishwa Chuki, Wivu na Uswahili uliokukomaa, Ujuha na Waliokuzaa.

Unajitahidi mno Kujipendekeza Kwangu huku ukijifanya unanijua sana yawezekana unataka niwe Basha wako ila bahati nzuri sikufunzwa IUpuuzi huo.

Kumbe ukirudia mwaka kwa kufeli Course Work Chuo Kikuu bado tu unaweza Kumaliza Degree yako ndani ya miaka Mitatu hiyo hiyo?

Mwisho kwauwa huwa unasema unanijua nakupa Assignment nenda pale SAUT School of Graduates Studies utamkuta aliyekuwa Vice Chancellor SAUT ( Darasa langu la 2006 - 2009 ) Dk. Charles Kitima ambaye ID yangu hii anaijua akuambie mwaka 2018 nilimaliza Masters Degree ya nini hapo na sasa tena nipo wapi nafanya Masters Degree nyingine sawa?

'Pumbavu' Mkubwai na 'Fukara' Wewe!!!
 
Hahaha,munajisifia videgri hivi jamani hebu tuweni wamoja maana hauwezi kuvila. Acheni dharau kabisa, kilakitu ni michongo tu mpira naona umewashinda.
 
Hahaha,munajisifia videgri hivi jamani hebu tuweni wamoja maana hauwezi kuvila. Acheni dharau kabisa, kilakitu ni michongo tu mpira naona umewashinda.
Kwahiyo ulitaka nishutumiwe kwa Uwongo na Uzushi kisha ninyamaze ndiyo Wewe Juha na Mnafiki ufurahi na Uridhike?

Ni mara ngapi nachokozwa, natukanwa, nadhihakiwa na Kuchafuliwa hapa JamiiForums? Mbona sijawahi kukuona ukija Kuwakemea hao Members wanaonifanyia hivyo?

Kwahiyo baada ya Mimi Kumjibu Mpumbavu, Mwendawazimu, Mswahili na Mnafiki Mwenzako Its Pancho ndiyo Umeamia sana na kuamua kuja Kushauri / Kunishauri hivi?

Kuhusu Kusoma au Kuelimika kwani Mtu akijivunia Elimu yake iwe kuwa na Degree au Masters au Doctorate ambayo hata hujachangia Ada yoyote Kwake na ni Akili zake pamoja na Juhudi ndizo zimemfikisha hapo Wewe kinakuuma nini?

Halafu unasema niache / tuache Dharau hivi Wewe ulivyoandika hapa neno 'Vidigrii vyenu' hujadharau na wala hujawadharau wenye nazo au wale wanaozihangaikia sasa Kuzisoma huko Vyuo Vikuu waliko?

Pumbavu.
 
Sababu wenye vidgri huwa tunafikili maisha yamefika mwisho,ukituhumiwa hujawa Mpumbavu au mjinga,ila ukireact ndo unakuwa
MPUMBAVU.
 
Sababu wenye vidgri huwa tunafikili maisha yamefika mwisho,ukituhumiwa hujawa Mpumbavu au mjinga,ila ukireact ndo unakuwa
MPUMBAVU.
Endelea kuhangaika nami ila najua Sindano yangu inekuingia vyema Wewe na huyo Basha wako na Mpumbavu Mwandamizi Mwenzako Its Pancho unayempigania hapa.

Na ni nani amekuambia kuwa Mtu kuwa na Degree au Masters au Doctorate ndiyo mwisho wa Maisha au kamaliza kila Kitu?

Nilitaka nikuelimishe ili upate Maarifa ila nimegundua ya kuwa kumbe huna tu huu Upumbavu Uliokutukuka bali pia kumbe Wewe ni Psychopath Case hivyo nisipoteze sana muda nawe.

Huyo Zuzu ( Hambe ) Mwenzako Its Pancho amesema kuwa GENTAMYCINE nilifukuzwa Kazi na nilirudia mwaka Chuo Kikuu kwa Kufeli 'Course Work' hivyo mkumbushe kuwa ( kwakuwa ameshasema ananijua sana Kama ambavyo ananijua aliyemzaa nikiwa nae Maji mafupi ) nimemuomba aweke Ushahidi wote alionao juu yangu na nashangaa mpaka sasa yuko Kimya ila hii post yako 'ameilaiki' upesi sana.
 
Acha mikwara ya kijinga kwa watu wengine wamekwambia ukweli
Wewe ulirudia chuo mwaka sababu ya akili ndogo.
Na hata kazi ulifukuzwa pia sababu ya ujinga na uwezo mdogo.
 
Acha mikwara ya kijinga kwa watu wengine wamekwambia ukweli
Wewe ulirudia chuo mwaka sababu ya akili ndogo.
Na hata kazi ulifukuzwa pia sababu ya ujinga na uwezo mdogo.
Huu ndiyo Ushahidi niliokuomba uutoe na ndiyo umeutoa? Tangia utake nikuingilie Kinyume na Maumbile tokea Chuo na hapa Dar es Salaam na Kukukatalia umeamua Kunichukia?

Kwahiyo unadhani unavyonishobokea na Kuhangaika nami hivi ndiyo nitabadili Maamuzi na Kukubalia nikuingilie? Nilidhani hii tabia yako ulishaiacha ulipomaliza Chuo kumbe bado unayo na unaiendeleza tu mpaka leo?

Halafu nilikuwa sijui kumbe mwenye Akili ndogo huwa anapata Division II Form Four na Division I Form Six, anapata Ufaulu mzuri ngazi ya Bachelor na anapata Masters Degree ya SAUT na tena anamalizia Masters Degree yake nyingine OUT?

Kumbe TCU wanaruhusu Candidate wa Chuo Kikuu kurudia mwaka kwa Kufeli Kwako na bado akahitimu ndani ya miaka ya Kozi Kitaaluma ambayo kwa Mass Com yangu ilikuwa ni miaka mitatu 2006 - 2009?

Nashukuru kwa kadri unavyohangaika nami Kutwa hapa JamiiForums na kwa Hoja zako za Kipuuzi, Kiswahili na Kizushi ndiyo unarahisisha Watu ( Members wa JamiiForums ) kuujua vyema Uwendawazimu na Upumbavu wako ambao Umerithishwa na Waliokuzaa.

Tafuta tu wa 'Kukuingilia' ila siyo Mimi.

Pumbavu.
 
Kichwa Tembo akili KISODA mkuu.🀣🀣🀣🀣😍
 
Kichwa Tembo akili KISODA mkuu.🀣🀣🀣🀣😍
Naona Kombora langu la IBM nililolipiga kwa huyo Mpumbavu Mwenzako limemtekeza na kumfanya aufyate na awe mpole.

Mwambie Waisreli wamenipika Kivita!!!!
 
Naona Kombora langu la IBM nililolipiga kwa huyo Mpumbavu Mwenzako limemtekeza na kumfanya aufyate na awe mpole.

Mwambie Waisreli wamenipika Kivita!!!!
Ni yeye siyo mimi maana huwastumii matusi kwa kiumbe kama ninyi,ila wewe mwenyewe ndo utajichagulia gradeπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…