Shikamoo Kamikaze

Hampendi nini humu hatujuaniii yaan munaonea wivu id
Nahisi hujanielewa mimi wala sishangai sababu Kila mtu ana hisia

Swala ni hivi kumsifia mwanaume mwingine mbele ya boyfriend wako hapo ndio tatizo.

Mimi sina sababu ya kuchukia sababu hata sisi wanaume huwa tuwasifia wasanii wa kike wazuri.

Just relax Dinazarde
 
Aaaa yea hapo hua ni tatizo lakin kama huna si unasifia tu hahah
 
Hahahahahaaaaa.....! dinazarde naona hii mada ifungwe tuu, maana hutokawia kuambiwa mchochezi muda si mrefu. Watu tushapanic tayari..!
 
Bora wewe umekua fair...
 
Wanaume wako hivo Mimi kuna siku nilikuwa naangalia movie Fulani ya William levy na mpenzi nikasema huyu mkaka nampendaga nilipigwa Kofi moja hilo sitosahau , yaani sijui wapoje[emoji3] [emoji3]
Pole mkuu... Ila wao ukiongozana nao halafu mkutane na totoz kali lazima shingo ipinde....
 
Wanaume hawapendi kupitwa ila huo ndo ukweli jamaa mtanashati wallah Duh! Namnukuu mtoa post "Mungu Fundi" kajaaliwa mtoto wa watu pongez kwa anayemkaza kwa kweli wengine sie tunawatu wana manywele mpaka kudako [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] Ila wao wanapenda kusifia kina wema daily!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…