Shikamoo Kamikaze

Itabidi tufungue uzi kua kwanini wanaume hampendi mwanaume mwenzenu akisifiwa na mwanamke ilhali nyinyi wanaume mnasifia wanawake humu kila siku,


hahahahaaa..! halafu mbaya zaidi tunasifia kichochezi, maana tunasifiaga mata.ko, hipps na boobs. sura mara chache sana. Ila hili mimi mwenyewe mgeni, tumuulize braza mshana jr aweza kuwa na jibu.
 
Walaaahhh ungekua mke wangu talaka yako ungeikuta kwa wazaz wako Tangu tu ulivoandika huu Uzi
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] pole wee kutwa kuwasifia kina wema mbona huachwiii??
Diamond Ana mvuto gani[emoji15] [emoji15] [emoji57] [emoji57] [emoji57] yule ukimuona live mbayaa Ana mipele mipele usoni
[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] hana hata mvuto mbayaaaa!!360 tu zile!!
Kamikaze sio shoga bhana acheni kashfa au kakuzid ndo maana povu linakutokaa[emoji12] [emoji12] [emoji12]
wanaume hawapendi umsifie mwenzao kwa uzuri
inferiority complex
umeona eeeeh[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
Wanaume wako hivo Mimi kuna siku nilikuwa naangalia movie Fulani ya William levy na mpenzi nikasema huyu mkaka nampendaga nilipigwa Kofi moja hilo sitosahau , yaani sijui wapoje[emoji3] [emoji3]
Ila William levy bwana acha tuu!
Sio peke yako switie kasababisha Marc Anthony na jlo waachane!!
 


Hahahahahaaa...! unafanya mchezo nini kuona dalili za kugegedewa.?
 
Juzi nilihudhuria show ya Jide Villa park nilimsikia akisema ukimpenda MTU mueleze na siyo kumchafuwa, nadhani mleta mada ametumia Uhuru wake wa kianti Magufuli.

Na wale wanaovutiwa na Matola licha Ya kuwa na sura ngumu mnaruhusiwa kushow love pia.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Hahahahahaaa...! unafanya mchezo nini kuona dalili za kugegedewa.?
Wehu wao tuu!mi kamikaze atanipatia wapi!!!??labda...?!!visista duuhh!!vyote macho yamewatoka kina wema tunda wanamtaka!!
 
Wehu wao tuu!mi kamikaze atanipatia wapi!!!??labda...?!!visista duuhh!!vyote macho yamewatoka kina wema tunda wanamtaka!!

Mhhh, Tuseme ndo one one one unakutana naye, na anakutongoza utamkatalia .? ( nazungumzia in long run, maana papo kwa papo najua utakataa ).?
 
Mi nasifia anayenuna anune tu haswaa mie mpenz wa muvi za kihindi kila me mzuri nasifia wananuaaaa!yanaisha...!!mana wakianza msifia wema,huddah!!mpk kerooi!!
Hahaahahahahaha
 
Ukisifia wewe kelbu itakuhusu kama siyo mtama. heheheheheeeeh.
I do remember few yrs back,wasanii walikua wamekuja kwenye show Dom enzi za ngwair kama sikosei,blue,nay nk
Sasa tunatoka hv Mara ikapita gari yao mie nkaanza kumsifia blue!Gari yao ilipigwa mkono na traffic!nlijutaa kakaa!!
Nilinuniwa njia nzimaa
Nkaulizwa'what the hell he got I don't have?'shame on u!!
Kisa bluu!
 

Hahahahaaaa, ungemjibu tuu dushe lako na lake hayafanani. halafu ungetulia tuliii usikilizie mrejesho nyuma unakuwaje.
 
He is keen & smart.
Nashukuru hujaniona mimi ungebeba kipaza sauti uitangazie Africa. [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hahahahaaaa, ungemjibu tuu dushe lako na lake hayafanani. halafu ungetulia tuliii usikilizie mrejesho nyuma unakuwaje.
akaah!nlinyamaza kimyaaa!!kaongea kuanzia mwanzo mpk mwisho wa safari,mie nasikiliza tuu!hadi tunarudi!mi naweza basi kujibizana upuuzi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…