Shikamoo Kamikaze

Shikamoo Kamikaze

Nilijua mi mwenyewe ndo ninayezimika na huyu kaka. Kumbe tuko wengieeee.... Kweli Mungu Fundi kamikaze anavutia bwana huyu singida boy ni shiiiida. Ananigusa Sana.
 
Say whattttt???[emoji11]
 
View attachment 393929
Nilikuwa naangalia moja ya movie za huyu jamaa .. Nampendaga sana so nikajikuta nisharopokwa[emoji3] [emoji3]
Umenichekesha hatari unenikumbusha kuna siku baba angu mdogo alikuwa anacheki tangazo flan hivi la c.ronaldo sasa ilikuwa ni mda wa kula mke wake alipoliona akaropoka duh ila huyu cr ni handsome jamani afu ukizingatia mumewe mbovu balaa mweusi hatar alimkata jicho moja tu afu alajibiwa nimeshiba chakula akainuka sijui nin kiliendelea huko room
 
Haaaha, Huko room huyo mamako mdogo lazima itakuwa alimtuliza kwa shoo moja matata. Maana bila hivyo kinaweza kisieleweke.

Na sisi wanaume tulivyokuwa wadhaifu wa papuchi, ukishapewa papuchi na kushikwashikwa kidevu hasira zote kwishaaa.
 
Back
Top Bottom