Shikamoo Kamikaze

Shikamoo Kamikaze

Hahaaa kamuone daktari maana itakuwa jogoo hawiki[emoji87] [emoji87] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Mm mwenyw nimejiuliza sana au 4G lite anataka kutukatisha tamaa ya kumpata cyliy[emoji3] [emoji3]
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] kamikazeee
 
Maneno ya mkosajii[emoji23] [emoji23] [emoji23] daah kweli Dinazarde kawatoa mapovu wengii mm kila nikiona comment ya me siishi kucheka[emoji23] [emoji23] [emoji23]
WTF are you talking about? who is mkosaji? kukukosea wewe au nani? thats my opinion and not yours and then you say mm mkosaji. Nimekosa mini?
 
naomba nitumie io picha ya kwenye profile pls..ya mutu mweusi
 
Mashaaalllh toto totooo
1473169983989.png
1473170040283.png
1473170059152.png
 
[emoji106] [emoji106] [emoji106] bina nimetoka kumfollow singida boy,bwana weeee...!!neema za Allah hazijampita..!!

Hao wasitupe presha ngoja na sie tuienjoy kwa kweli!
Heheheh kumbe ulikua hujamfollow khaaa ulichelewa aiseee mi mahandsome wote nimewafollow hadi levy[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Inaelekea unamkubali Sana jamaa Kama upo hapa mjini kati siku za mwisho wa wiki ukipata nafasi nichek inbox nikuelekeze uje Kijiwe chetu cha wakacha au wakali wa dresscode upate hata picha na jamaa yuko poa sana hii ni kwa mrembo yoyote anayetaka picha na jamaaView attachment 394925
Mi picha ninazo nachotakani ,........... heheheheheheh (natania msijenniua
 
Back
Top Bottom