Shikamoo Kamikaze

Shikamoo Kamikaze

Zilikuwa drama za ile singo yake mpya.. Wamezurura wote ila now kila mmoja na mishe zake... Jamaa kaoa aisee kitambo tu.
Mmmh niliona wameenda mpaka Dubai walienda kufanya nini?amemuoa nanii aisee
 
Mmmh niliona wameenda mpaka Dubai walienda kufanya nini?amemuoa nanii aisee
Hahhha wabongo utawaweza.. Ilikuwa part ya kuifanya singo yao itambe maana kidoa alikuwa video queen wake. Siwez mtaja apa wife wake ila ni binti poa sana hana makuu wala... Kama unamfuatilia vizur kamikaze kuna wakat alipotea kabisa kwenye game... Alikuwa anamuuguza wife wake. Thats ol dia.
 
Povuuuu [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
Hahahha hofu yangu ilikuwa wewe na umekuja kweli[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Hahhha wabongo utawaweza.. Ilikuwa part ya kuifanya singo yao itambe maana kidoa alikuwa video queen wake. Siwez mtaja apa wife wake ila ni binti poa sana hana makuu wala... Kama unamfuatilia vizur kamikaze kuna wakat alipotea kabisa kwenye game... Alikuwa anamuuguza wife wake. Thats ol dia.
Oooh maskini ,,,nawaombea wawe wana afya njema ,
 
Ndo maana saa zingine wanasalitiwa maana hata ukimkosoa kwamba hiki ulichofanya sio fanya hiki , wao wanapanic bila kujali kina thamani gani kwako ukimpata mwenye nacho unampa mgongo
wanaume wana asili ya kujifanya mapaferct kwny kila kitu!
ukimuambia shida
kamikaze jamanii mzuriiik kama baby@platozoom[emoji3]
 
Back
Top Bottom