Shikamoo Kamikaze

Ila ana kimo cha Joti.
 
Nimejikuta nimefungua huu uzi...
Sasa sijui nichangie nini..!!!?
Anyways...

"Kijana yuko smart"
 
Huwa sipendi wanaume wazuri sijui kwanini tu?
Ubaya wangu pia unachangia....lol
mimi pia huwa mwanaume akiwa mzuri kabisa sinaga hisia nae hata kidogo..
nafikiri kwa sababu siamini katika tabia zao..
mimi mwanaume wangu natakaga awe body ya kuvutia wastani
sura sio mbaya wala sio mzuri.. kawaida
anajipenda/gentlemen
ilimradi anapiga mswaki na hanuki kikwapa..
kikubwa kuliko chochote tabia yake..
tabia yake ikiwa njema.. nahisi hicho ndio kinanivutia 70%..
 
Mbona Hana garden love? Halafu mwanaume mweupe mmh?
 
kipendacho roho..
wadada wengi wanamtamani huyu kaka...
kwahiyo ni chaguo la wengi...

wazuri wapo wengi ..kina izzo bizness
tatizo lao katika usanii wapo kamahawapo..
Huyo mtoto wa kishua kama mwenzake jux nadhani wanafanya mziki kwa mapenzi tu
 
Handsome wa ukweli sio sir anavutia kwa nje ndani sasa ndo sijui
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…