Shikamoo Kamikaze

Shikamoo Kamikaze

Nimeona mmeleta wasanii wanaovutia ,kwenye listi yooote mliyoweka huyu kaka hakuna anaemfikia hata robo[emoji108][emoji108][emoji108],au mna makengeza mnaweka kin diamond wana midomo ya kumeza chapati sita unatuambia anavutia?watu wana pua kama mme wa shamsa ford useme wanavutia,jux ana mvuto gani kwa mfanooo,[emoji23][emoji23][emoji23]
Naomba mumuone huyu kaka aisee popote alipo salute Mungu fundi aisee
Huyu kaka analika aiseee haku a kujiuliza wala kujishauri
Muangalie macho,mdomo,pua paji la uso,kifua cha wastaniii,nywele uhuuuuuuuuuuuuView attachment 393706View attachment 393707View attachment 393708View attachment 393709
We kaka uliko huko Mungu anakuona jamani acha kunitesa mie[emoji23][emoji23][emoji23] halaf una macho kama ya mtu fulani nimemuona kapita View attachment 393710
Ila ana kimo cha Joti.
 
Nimejikuta nimefungua huu uzi...
Sasa sijui nichangie nini..!!!?
Anyways...

"Kijana yuko smart"
 
Huwa sipendi wanaume wazuri sijui kwanini tu?
Ubaya wangu pia unachangia....lol
mimi pia huwa mwanaume akiwa mzuri kabisa sinaga hisia nae hata kidogo..
nafikiri kwa sababu siamini katika tabia zao..
mimi mwanaume wangu natakaga awe body ya kuvutia wastani
sura sio mbaya wala sio mzuri.. kawaida
anajipenda/gentlemen
ilimradi anapiga mswaki na hanuki kikwapa..
kikubwa kuliko chochote tabia yake..
tabia yake ikiwa njema.. nahisi hicho ndio kinanivutia 70%..
 
Nimeona mmeleta wasanii wanaovutia ,kwenye listi yooote mliyoweka huyu kaka hakuna anaemfikia hata robo[emoji108][emoji108][emoji108],au mna makengeza mnaweka kin diamond wana midomo ya kumeza chapati sita unatuambia anavutia?watu wana pua kama mme wa shamsa ford useme wanavutia,jux ana mvuto gani kwa mfanooo,[emoji23][emoji23][emoji23]
Naomba mumuone huyu kaka aisee popote alipo salute Mungu fundi aisee
Huyu kaka analika aiseee haku a kujiuliza wala kujishauri
Muangalie macho,mdomo,pua paji la uso,kifua cha wastaniii,nywele uhuuuuuuuuuuuuView attachment 393706View attachment 393707View attachment 393708View attachment 393709
We kaka uliko huko Mungu anakuona jamani acha kunitesa mie[emoji23][emoji23][emoji23] halaf una macho kama ya mtu fulani nimemuona kapita View attachment 393710
Mbona Hana garden love? Halafu mwanaume mweupe mmh?
 
kipendacho roho..
wadada wengi wanamtamani huyu kaka...
kwahiyo ni chaguo la wengi...

wazuri wapo wengi ..kina izzo bizness
tatizo lao katika usanii wapo kamahawapo..
Huyo mtoto wa kishua kama mwenzake jux nadhani wanafanya mziki kwa mapenzi tu
 
Back
Top Bottom