Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila ana kimo cha Joti.Nimeona mmeleta wasanii wanaovutia ,kwenye listi yooote mliyoweka huyu kaka hakuna anaemfikia hata robo[emoji108][emoji108][emoji108],au mna makengeza mnaweka kin diamond wana midomo ya kumeza chapati sita unatuambia anavutia?watu wana pua kama mme wa shamsa ford useme wanavutia,jux ana mvuto gani kwa mfanooo,[emoji23][emoji23][emoji23]
Naomba mumuone huyu kaka aisee popote alipo salute Mungu fundi aisee
Huyu kaka analika aiseee haku a kujiuliza wala kujishauri
Muangalie macho,mdomo,pua paji la uso,kifua cha wastaniii,nywele uhuuuuuuuuuuuuView attachment 393706View attachment 393707View attachment 393708View attachment 393709
We kaka uliko huko Mungu anakuona jamani acha kunitesa mie[emoji23][emoji23][emoji23] halaf una macho kama ya mtu fulani nimemuona kapita View attachment 393710
Eti anarembua.Wewe kilichokuvutia nini hasa kwenye hiyo reception ya mbele
Na ana dinda vzr tu
uzuri unaesongezea ashkiutakuta handsome boy kumbe dudu halidind sasa sijui huo uzur ndio utakukojolesha wanawake bwana buree kabisa
mimi pia huwa mwanaume akiwa mzuri kabisa sinaga hisia nae hata kidogo..Huwa sipendi wanaume wazuri sijui kwanini tu?
Ubaya wangu pia unachangia....lol
Mbona Hana garden love? Halafu mwanaume mweupe mmh?Nimeona mmeleta wasanii wanaovutia ,kwenye listi yooote mliyoweka huyu kaka hakuna anaemfikia hata robo[emoji108][emoji108][emoji108],au mna makengeza mnaweka kin diamond wana midomo ya kumeza chapati sita unatuambia anavutia?watu wana pua kama mme wa shamsa ford useme wanavutia,jux ana mvuto gani kwa mfanooo,[emoji23][emoji23][emoji23]
Naomba mumuone huyu kaka aisee popote alipo salute Mungu fundi aisee
Huyu kaka analika aiseee haku a kujiuliza wala kujishauri
Muangalie macho,mdomo,pua paji la uso,kifua cha wastaniii,nywele uhuuuuuuuuuuuuView attachment 393706View attachment 393707View attachment 393708View attachment 393709
We kaka uliko huko Mungu anakuona jamani acha kunitesa mie[emoji23][emoji23][emoji23] halaf una macho kama ya mtu fulani nimemuona kapita View attachment 393710
Cyo mweupe uyo kaka n choclate flan iv amazingMbona Hana garden love? Halafu mwanaume mweupe mmh?
Huyo mtoto wa kishua kama mwenzake jux nadhani wanafanya mziki kwa mapenzi tukipendacho roho..
wadada wengi wanamtamani huyu kaka...
kwahiyo ni chaguo la wengi...
wazuri wapo wengi ..kina izzo bizness
tatizo lao katika usanii wapo kamahawapo..
Wengine hawazipendi kama fabregas anatumia mamilioni kuzinyoaMbona Hana garden love? Halafu mwanaume mweupe mmh?
Ni nzuri Sana hizo, wanawake wengi wanazipenda Kama nini!Wengine hawazipendi kama fabregas anatumia mamilioni kuzinyoa
Hahahahaaaaaaaaaaaa umeuwa mkuunimeskia nimepostiwa huku JF