Shikamoo Kamikaze

Kama kwa huyo pichu zinawalowa watoto wa kike,basi mkiniona mimi mtalowesha hadi nguo mlizovaa nje. Maana ni zaidi ya handsome + pesa + elimu = ??
Nakuja pm sasaa
 
Halafu wanaume wengi mmemaimdi... lakini mbona tukiwasifia kina Wema,Zari, Huddah wanawake huwa wanatulia tuu...

saa sahzi mara mseme ushoga mara nini..
Wivuuuu hehehe mwanaume akiwa anavutia anajipenda eti shoga huhuuu tunawapenda hivyo hivyoo
 
Ungemsifia bila ya kuponda wengine, kila mtu na mvuto wake. Kwa kuponda wenginr umeishusha post yako kwa kama me as umeleta wivu full stop
Michombwezo tu wala usijali
 
Kiume pesa. Period.
Ukija kuambiwa huyo mukaka naye ana mukaka wake sijui utasemaje?
Dina karibu Diamond hapa tule dona na Sato.
 
Bora umenisaidia yaan humu ukisifia mwanaume ni kosa,,,lo waelezeeee
 
Bora umenisaidia yaan humu ukisifia mwanaume ni kosa,,,lo waelezeeee

Hahaahahaaa, ukiona hivyo wengi tunakutamani halafu tunashindwa pa kuanzia. Halafu tukiangalia jamaa yupo mbioni kutunukiwa kipochi manyoya pasipo kutolea jasho, hapo lazima tuchukie. Mbaya sasa hapo iwe kidume ndo usharusha ndoano, unatia sound weeee hueleweki, unahonga wapiii, anakuja mwengine anatongozwa yeye na kulazimishwa, yaaani kidume unatamani upasuke. At some time world is not fair, Na haipo fair toka kuumbwa kwake. All needed is playing calm and wise.

Bahati ya mwenzako usiilalie mlango wazi, Wahenga walisema. ( dah, ndo maana nawapendaga wahenga, Yaani hawa wahenga wangeendeleaga tuu kutoa misemo mipya kwakweli.)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…