Jamaa ana pesa chafu...sema za urithi
wanajuana... maana wote wamekufa hapotzshaderoom yupo insta mkuu nae anampenda
Naona wanaume povu linawatoka....[emoji126][emoji126][emoji126]sema huyo dogo hajamfkia wa kwangu...[emoji41]
yuko vizuri dogooo!!!toto la singidaniiii!!!Hahahahahahahah
Kwani pesa za urithi ni haramu? kama Baba'ko alikuwa mzembe usiwaonee mtimanyongo walioandaliwa future na wazazi wao.Jamaa ana pesa chafu...sema za urithi
ana macho flani,mdomo na fua flani amaizingggg!!!Yea anajiita singida boy
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji3] [emoji3]Kwani pesa za urithi ni haramu? kama Baba'ko alikuwa mzembe usiwaonee mtimanyongo walioandaliwa future na wazazi wao.
Kama unadhani kurithi pesa ni kazi rahisi basis na we we waandalie watoto wako urithi huo.
Nimekupenda bure we mkaka muahHahaahahaaa, ukiona hivyo wengi tunakutamani halafu tunashindwa pa kuanzia. Halafu tukiangalia jamaa yupo mbioni kutunukiwa kipochi manyoya pasipo kutolea jasho, hapo lazima tuchukie. Mbaya sasa hapo iwe kidume ndo usharusha ndoano, unatia sound weeee hueleweki, unahonga wapiii, anakuja mwengine anatongozwa yeye na kulazimishwa, yaaani kidume unatamani upasuke. At some time world is not fair, Na haipo fair toka kuumbwa kwake. All needed is playing calm and wise.
Bahati ya mwenzako usiilalie mlango wazi, Wahenga walisema. ( dah, ndo maana nawapendaga wahenga, Yaani hawa wahenga wangeendeleaga tuu kutoa misemo mipya kwakweli.)
Nimekupenda bure we mkaka muah