Shikamoo Kamikaze

Shikamoo Kamikaze

Kiume pesa. Period.
Ukija kuambiwa huyo mukaka naye ana mukaka wake sijui utasemaje?
Dina karibu Diamond hapa tule dona na Sato.
Asante Matola nakuja
 
Kwani pesa za urithi ni haramu? kama Baba'ko alikuwa mzembe usiwaonee mtimanyongo walioandaliwa future na wazazi wao.

Kama unadhani kurithi pesa ni kazi rahisi basis na we we waandalie watoto wako urithi huo.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji3] [emoji3]
 
Hahaahahaaa, ukiona hivyo wengi tunakutamani halafu tunashindwa pa kuanzia. Halafu tukiangalia jamaa yupo mbioni kutunukiwa kipochi manyoya pasipo kutolea jasho, hapo lazima tuchukie. Mbaya sasa hapo iwe kidume ndo usharusha ndoano, unatia sound weeee hueleweki, unahonga wapiii, anakuja mwengine anatongozwa yeye na kulazimishwa, yaaani kidume unatamani upasuke. At some time world is not fair, Na haipo fair toka kuumbwa kwake. All needed is playing calm and wise.

Bahati ya mwenzako usiilalie mlango wazi, Wahenga walisema. ( dah, ndo maana nawapendaga wahenga, Yaani hawa wahenga wangeendeleaga tuu kutoa misemo mipya kwakweli.)
Nimekupenda bure we mkaka muah
 
akili za mwanamke kumbe zinakuwaga namna hii, au sio kwa wote?
 
umemaliza?? naona umeposti pumba tupo
 
Back
Top Bottom