BICHWA KOMWE -
JF-Expert Member
- Jul 21, 2022
- 6,373
- 16,073
π€£π€£π€£π€£π€£ marahabaBibi bichwa komwe una hoja usikilizwe
Samahani nilisahau kukusalimia
SHIKAMOO
Wizo shikamoo π
πππ wizo stakii ukorophiWizo shikamoo π
Unamuagiza Mh Rais, ww kam nani π
Shikamooo bichwaHivi hii salamu ya kifashisti ilitungwa na nani?
Kuna watu wamenizidi umri lakini nikiwaamkia shkamoo hawaitikii. Wanaona soo.
Kesho yake ukijiongeza ukaamua kutokumsalimia ananuna na kufura kama jinamizi. Sijui ni kwanini ati?
Mimi mwenyewe nikiambiwa shkamoo siitikii kabisa. Labda niamkiwe na vitoto vya chekechea.
Dume zima na mandevu ati shkamoo? Kivipi?
Namuagiza samia aifute hii salamu ya shkamoo mara moja katika mipaka yote ya Tanganyika. Salamu ya fedheha sana hii.
Awaelekeze Bakita watunge salamu nyingine itakayoenzi utu wa watu badala ya kusujudiana kwa mashkamoo ya hovyo hovyo.
Aisee nguvu za Samia siyo za dunia hii π€£.Hivi hii salamu ya kifashisti ilitungwa na nani?
Kuna watu wamenizidi umri lakini nikiwaamkia shkamoo hawaitikii. Wanaona soo.
Kesho yake ukijiongeza ukaamua kutokumsalimia ananuna na kufura kama jinamizi. Sijui ni kwanini ati?
Mimi mwenyewe nikiambiwa shkamoo siitikii kabisa. Labda niamkiwe na vitoto vya chekechea.
Dume zima na mandevu ati shkamoo? Kivipi?
Namuagiza samia aifute hii salamu ya shkamoo mara moja katika mipaka yote ya Tanganyika. Salamu ya fedheha sana hii.
Awaelekeze Bakita watunge salamu nyingine itakayoenzi utu wa watu badala ya kusujudiana kwa mashkamoo ya hovyo hovyo.
Wizo hapo ushalewa unaanza kukataa shikamoo kwa mabaamed ili upite nao ππππππ wizo stakii ukorophi
π€£π€£π€£πΉπΉπΉπΉπΉAisee nguvu za Samia siyo za dunia hii π€£.
Hivi wizo mara hii umeshasahau kuwa mie ni shangaziii πΉπΉπΉπΉπΉWizo hapo ushalewa unaanza kukataa shikamoo kwa mabaamed ili upite nao πππ
Samia anaweza kuliamuru joto liondoke?π€£π€£π€£πΉπΉπΉπΉπΉ
Samia ni mama mlezi wa Tanganyika. Lolote linawezekana kwake.
Kama Bichwa Komwe πUnamuagiza Mh Rais, ww kam nani π
ππππ nimelewa wizo nishasahauHivi wizo mara hii umeshasahau kuwa mie ni shangaziii πΉπΉπΉπΉπΉ
πΉπΉπΉπΉπ€£π€£π€£π€£π€£Samia anaweza kuliamuru joto liondoke?