Shikamoo ni lazima? Unaninyima nini?

Shikamoo ni lazima? Unaninyima nini?

Hivi hii salamu ya kifashisti ilitungwa na nani?

Kuna watu wamenizidi umri lakini nikiwaamkia shkamoo hawaitikii. Wanaona soo.

Kesho yake ukijiongeza ukaamua kutokumsalimia ananuna na kufura kama jinamizi. Sijui ni kwanini ati?

Mimi mwenyewe nikiambiwa shkamoo siitikii kabisa. Labda niamkiwe na vitoto vya chekechea.

Dume zima na mandevu ati shkamoo? Kivipi?

Namuagiza samia aifute hii salamu ya shkamoo mara moja katika mipaka yote ya Tanganyika. Salamu ya fedheha sana hii.

Awaelekeze Bakita watunge salamu nyingine itakayoenzi utu wa watu badala ya kusujudiana kwa mashkamoo ya hovyo hovyo.
kwa wazee wa kisasa baada ya kuitikiwa salamu hiyo, ni lazima pisi irudishiwe MAMBOooow....

ili kusawazisha hali ya urika na kutengeneza mazingira ya kwamba uzee hakuna kati yenu....
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ tatizo wizo unajimix mwenyewe ukianza kunitishia kunipiga hogo la papuchi banaโ€ฆ anyway sirudii tena my wizooo.
Hogo la papuchi liko pale pale wizo. Nitakupiga nalo japo mie ni shangazii ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น

Tena uniheshimuu mie wifi yako alaaaah
 
kwa wazee wa kisasa baada ya kuitikiwa salamu hiyo, ni lazima pisi irudishiwe MAMBOooow....

ili kusawazisha hali ya urika na kutengeneza mazingira ya kwamba uzee hakuna kati yenu....
๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
 
Dr ni mkwe wangu wizoo, shemeji yangu ni mwanae wa tatu aliyemuoa dada yangu mzaa shangazi yanguu ๐Ÿ˜‹
Huu utambulisho wizo sijauelewa vitawi vingi sana ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Back
Top Bottom