Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 25,425
- 59,309
🤣🤣🤣🤣 oyaaaHuyu anapigwa hogo la kinyeo 😹😹😹
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣🤣 oyaaaHuyu anapigwa hogo la kinyeo 😹😹😹
Lamomy wee unacheka tuu.🤣🤣🤣🤣 oyaaa
Sasa me nifanyeje bro? Nafurahi niongeze siku za kuishi sipendi stress life lenyewe fupi hili 🤣🤣🤣🤣🤣Lamomy wee unacheka tuu.
😂😂😂😂😂 Unaona jamaa akili zipo sawa huyo 😂😂😂
Nini wizo 😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣 oyaaa
Wizo leo mie mbaba tena jamanii?? 😂😂😂😂😂😂😂 khaaaa kweli mmenichoka jamaniii 😹😹Halafu wizo ni mtu wa masihara wala hamaanishi, mbaba mtu mzima mwenye familia yake abawazingua tyuuu!!
Unajua mwenyewe 🤣🤣🤣Nini wizo 😂😂😂😂
Mimi huwa nawawahi nawaambia haujamboo 😹😹😹 anajibu sijambo halafu anakula kona.....Na kuna wale wanaoanza na "hujambo"sijui kwann hua nahisi wakisema hivo wanataka shkamoo.Binafsi shkamoo hua naitoa mara chache Sana,nnaowaona wazee kabisa.Nimekua nikagundua kuna watu hawaipendi hii salamu.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 wizo nimeamka na hangover nimejisahau…. Sorry wizo ngoja nipate supu pombe itokeWizo leo mie mbaba tena jamanii?? 😂😂😂😂😂😂😂 khaaaa kweli mmenichoka jamaniii 😹😹
Wizo wewe ni wa kuniita mimi mbaba kweliiiiiiiiiii wizooooooooooooo uwiiiiih 😱😱😱
Huyo m,baba mtu mzima lakini ajiheshimu...Sasa me nifanyeje bro? Nafurahi niongeze siku za kuishi sipendi stress life lenyewe fupi hili 🤣🤣🤣🤣🤣
Halafu wizo ni mtu wa masihara wala hamaanishi, mbaba mtu mzima mwenye familia yake abawazingua tyuuu!!
Hakuna kazi hapo..😂😂😂😂Watu wenye makomwe tuna maakili sana 😌😌😌
Komwe linampelekesha 🤣🤣🤣Huyo m,baba mtu mzima lakini ajiheshimu...
😂😂😂😂😂😂
Huwa anafanya mambo ya ajabu ndani humu mpaka najiuliza huyu BICHWA KOMWE - zipo lakini au😂😂😂😂
Mbio mbio...Komwe linampelekesha 🤣🤣🤣
Hanaga ugomvi na mtu wizo wangu, kwere ulete wewe labda 😂😂😂😂Mbio mbio...
Nikimuita shangazi yeee poa
Nikimuita ankoli yee sawa
An ni hovyo kabisa 😂😂😂😂
[emoji1787][emoji16][emoji16][emoji16]Komwe linampelekesha [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
shikamoo queen of zemundaHanaga ugomvi na mtu wizo wangu, kwere ulete wewe labda 😂😂😂😂
Unataka kuninyima nini shem? 😜shikamoo queen of zemunda
si unasema wewe ni shangazi age go🤣Unataka kuninyima nini shem? 😜
We umeniona?? Ngoja nifike 3rd floor ndio tuitane mashangazi rasmi 🤣🤣🤣si unasema wewe ni shangazi age go🤣