Shikamoo ni lazima? Unaninyima nini?

Shikamoo ni lazima? Unaninyima nini?

Lamomy wee unacheka tuu.
😂😂😂😂😂 Unaona jamaa akili zipo sawa huyo 😂😂😂
Sasa me nifanyeje bro? Nafurahi niongeze siku za kuishi sipendi stress life lenyewe fupi hili 🤣🤣🤣🤣🤣
Halafu wizo ni mtu wa masihara wala hamaanishi, mbaba mtu mzima mwenye familia yake abawazingua tyuuu!!
 
Na kuna wale wanaoanza na "hujambo"sijui kwann hua nahisi wakisema hivo wanataka shkamoo.Binafsi shkamoo hua naitoa mara chache Sana,nnaowaona wazee kabisa.Nimekua nikagundua kuna watu hawaipendi hii salamu.
 
Wizo leo mie mbaba tena jamanii?? 😂😂😂😂😂😂😂 khaaaa kweli mmenichoka jamaniii 😹😹

Wizo wewe ni wa kuniita mimi mbaba kweliiiiiiiiiii wizooooooooooooo uwiiiiih 😱😱😱
 
Mimi huwa nawawahi nawaambia haujamboo 😹😹😹 anajibu sijambo halafu anakula kona.....

Shkamoo nini banaa 😉😉
 
Wizo leo mie mbaba tena jamanii?? 😂😂😂😂😂😂😂 khaaaa kweli mmenichoka jamaniii 😹😹

Wizo wewe ni wa kuniita mimi mbaba kweliiiiiiiiiii wizooooooooooooo uwiiiiih 😱😱😱
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 wizo nimeamka na hangover nimejisahau…. Sorry wizo ngoja nipate supu pombe itoke
 
Sasa me nifanyeje bro? Nafurahi niongeze siku za kuishi sipendi stress life lenyewe fupi hili 🤣🤣🤣🤣🤣
Halafu wizo ni mtu wa masihara wala hamaanishi, mbaba mtu mzima mwenye familia yake abawazingua tyuuu!!
Huyo m,baba mtu mzima lakini ajiheshimu...
😂😂😂😂😂😂
Huwa anafanya mambo ya ajabu ndani humu mpaka najiuliza huyu BICHWA KOMWE - zipo lakini au😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom