Shikamoo ni salamu ya ovyo

Yaan nlipokuwa nasoma adv kuna walimu wa kik walikuwa hawaitikii shkamoo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kila watu wana mila na desturi zao,na ndio inafanya utofauti katika ya MTU na mtu, Nchi na Nchi-sasa unataka watu wote wawe na mila zinazofanana?
Kwa nini undhanie mila na desturi ya mwingine ni bora kuliko ya kwako? He elimu yao ndio imekupelekea kuwa na fikira hizo?

Ukiwa Roma fanya kama Waroma wanavyotaka.
 
Kuna kimama nilikutana nacho kwenye bajaji nikakiambia "za saa hizi" kikaniletea jau eti "unalingana na mwanangu wa kwanza, nipe shikamoo yangu" yaani tabu tupu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hakuna cha best,ishi kulingana na mila na destruri zenu.
 
"Shikamoo pesa"

Uislam raha sana.


Asalaam Alaikum, haina mkubwa kwa mdogo wala mdogo kwa mkubwa. Haina mwanamke kwa mwanamme wala mwanamme kwa Mwanamke.
 
Basi tumia: Hello, How U Doing? Kama hawakuelewi tumia: Hi, Dude!
Wakishanga tena na hiyo, waamkie hivi: whatsup, mother f....ker?
 
Binafsi siitumii tena, hata kwa wazee. Kuna salamu zenye heshima kuliko hiyi ambayo hata haieleweki.
 
Mtoto wa miaka kumi akikusalimia 'habari yako'' au akasema 'hello'ni sahihi?

Mimi naona kama ni dharau
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…