Shikamoo ni salamu ya ovyo

Wape Bwana Yesu asifiwe au Asalaam Alyekum...
 
Usicheke eti sio wachoyo kabisaa na hawana ukimwi kama watuwaaemavyo

Dah! Kwahiyo ulikuwa unajipigia kimasihara bibi zangu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Salamu ya kutakiana amani ambay haibagui umri unaeza mtolea mtu yyt awe mkubw wako au hata mdg wako mmeikataa. Pambaneni
Salamu ipi hiyo tuliyoikataa ?
 
Kuna nchi nilikuwa sasa jamaa wa huko ana hamu kinoma ya kujua kiswahili sasa akakariri kwamba shkamoo ni salamu kwa yeyote. Yule jamaa mkubwa kuliko mimi ila akiniona tu anakimbilia kusema SHKAMOO... Nikawa nakwepa kupita hata maeneo anayokaa.
Hata wakongo baadhi hudhani hivyo pia
 
Watz hii salamu unaweza kudhani labda ina waleteaga chakula mezani wanaipenda mno
 
Ujumbe wako uliotaka kuwasilisha kwa njia ya mzunguko bila shaka umefika, yaani ulikuwa nje ya nchi!! Sidhani kama ni sifa kuwa nje ya nchi!!
 
Kwakuwa nchi ya shangazi yako hii sio ?
 
Shikamoo inabidi iendelee..alafu ina raha yake kama inatoka kwa babe,kuna katoto niliwahi kuwa nako yan kananiamkia ile shikamoo inatoka ndani kabisa,basi nikawa najiona dume mimi [emoji3]
 
Upo sahihi. Ni salamu ya kitumwa huwa siitumii. Haina maana yoyote katika kumjulia mtu hali.
Na ndio maana ya salamu ilenge katika kumjulia mtu hali, mpaka leo sijui shikamoo inalenga nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…