Shikamoo ni salamu ya ovyo

Shikamoo ni salamu ya ovyo

Shkamoo ni ya kipuuzi Sana.
Binafsi tangu nipate akili nilianza kutoitumia, wazazi na ndugu walijua nina dharau lakini saivi washazoea hata wao.
 
Ujumbe wako uliotaka kuwasilisha kwa njia ya mzunguko bila shaka umefika, yaani ulikuwa nje ya nchi!! Sidhani kama ni sifa kuwa nje ya nchi!!
[emoji23][emoji23] ila wabongo bhana!,, sawa basi, sifa kwako we uliyekuwa kwenu mbinguni
 
Depal na Darlin oi oi oi..!!😂😂😂

Mtoa mada awe tu anawapa 'habari' hao ambao hawaeleweki kisha anaendelea na mambo yake..!! anayetaka anaitika ambaye hataki anaacha..!!
Oi oi niadjeeeeee 😂😂😂

Hello... habari, Wavivu wa shikamoo tunasalimia hivyo
 
Natoka zangu kwenye harakati zangu za kutafuta shekeli mara nakutana na mshangazi una bonge la tako, tako rojorojo!!
Kenenisa: mama shikamoo
Mshangazi: Unaniamkia unataka kuninyima nini?
Kenenisa:Lakini we mkubwa kwangu, shikamoo haki yako
Mshangazi: We kwani mtoto
Kenenisa:Mi mkubwa lakini Mimi Kama mwanao tu
MShangazi: Kwani nikikupa utashindwa? Au jongoo hapandi mtungi?
Kenenisa: Basi poa mama

Nilishindwa kuendelea zaidi na mazungimzo
Aiseeh wanawake wa uswazi hata Kama 40+ inapenda kujidogosha
 
Shikamoo inabidi iendelee..alafu ina raha yake kama inatoka kwa babe,kuna katoto niliwahi kuwa nako yan kananiamkia ile shikamoo inatoka ndani kabisa,basi nikawa najiona dume mimi [emoji3]
Weweeeeee kumbe?? Huu ujumbe naukopy kama ulìvyo naufikishe unapohitajika. Mmh au wengine hawapendi? Asante wacha kwanza nifikishe ujumbe huu
 
Ume
Shikamoo kwa Mume kutoka kwa mkewe inategemea na asili ya familia na mahusiano baina ya mke na mume bila kujali umri. Mfano:
1. Mke humuamkia mume mbele ya watoto ili kujenga kwa watoto kuwa baba ni kichwa cha nyumba na watoto hupokea hilo maishani mwao. Lakini wazazi wanaweza kuwajenga pia watoto wao katika salamu za kiimani kwa hivyo shikamoo sio lazima.
2. Kuna shikamoo ya mahaba ambayo mke huwa anampa mumewe. Narudia hii huwa ni shikamoo ya mahaba na utani wa kimapenzi yaani mke na mume huwa katika hali hiyo nyakati fulani fulani si mara zote ( hili hutokea automatic kwa mke wangu mara chache sana hasa nikirudi nikiuliza hujambo mke wangu nae hujibu kwa kusema "sijambo mume wangu shikamoo" na wote huwa tunaishia kucheka. Jambo hilo hutokea kwa mwaka mara moja au mara mbili. Mke wangu ni age mate wangu kabisa.
3. Shikamoo ikitumika visivyo itajenga distance kati ya mke na mume. Hasa kwenye familia yenye migongano kwa wingi na mawasiliano hafifu.
NB: shikamoo, salamu inayoweza kukubaliwa na wanandoa husika kuwa sehemu ya maisha yao au kutokea mara chache kama ajali. Au isitokee kabisa lakini maisha yakasonga. Kikubwa kila mwanandoa awajibike kwa nafasi yake hapo ndipo heshima ya kweli hutokea. Hasa baba kutoa mitonyo ya kulea familia.
Umeeleza vizuri sana ila mkuu rafiki yangu she is 30 anatoka na mbaba 55yrs (mchepuko) ina maana huyu baba alimjua shoga yangu kupitia mimi coz huyu baba tunafanya kazi sehem.moja.

Mimi huyu baba namsalimia kabisa shikamo kubwaaaa tu. Rafiki yangu kabla hawaja date alikuwa akimsalimia shikamooo sasa hivi wanadate anahisi kuendrkeza shikamoo ni kuweka gap kama ulivyo sema.

Huyu baba ili kulinda ndoa yake ana mu adress shoga yangu kama 'dada' ambayo alikuwa akimuita kabla ya kudate.

Wanadate kwa siri sana( mbaba huyu atakiwi kujulikana kitokana na status).

Shoga tukiwa kwenye umbea ndo ananiuliza je shikamoo iendelee au?

Huyu mbaba akimpigia simu hata wewe ukiwa karubu huwezi hisi kama wanadate.

Mfano akipiga simu:
Mbaba: mambo dada? Hujambo dada?
Shoga yangu: sijambo shikamoo😅.......hapa sasa ndo tunacheka hatuna mbavu......mara dada lakini niwapenzi wa siri sana.

Shoga ananiuliza akiendelea kumsalimia si ndo anaendelea kumuwekea hayo ma status yake?
Nilimuuliza shoga mkiwa faraga mnaitanaje? Akasema hatuitani majina yoyote wanakula wanacheka basi hivyo na anamuhudumia.

Tatizo la huyu mbaba rafiki yangu ni mpole sana ana maneno machache ila mcheshi.

Siku moja nikamtania ' vip nimekupa kitu chenya TBS? akajibu "super" hapo kamaliza

Mimi naona huyu akiendelea kusalimiwa mmh shoga kazi anayo.
 
Ume

Umeeleza vizuri sana ila mkuu rafiki yangu she is 30 anatoka na mbaba 55yrs (mchepuko) ina maana huyu baba alimjua shoga yangu kupitia mimi coz huyu baba tunafanya kazi sehem.moja.

Mimi huyu baba namsalimia kabisa shikamo kubwaaaa tu. Rafiki yangu kabla hawaja date alikuwa akimsalimia shikamooo sasa hivi wanadate anahisi kuendrkeza shikamoo ni kuweka gap kama ulivyo sema.

Huyu baba ili kulinda ndoa yake ana mu adress shoga yangu kama 'dada' ambayo alikuwa akimuita kabla ya kudate.

Wanadate kwa siri sana( mbaba huyu atakiwi kujulikana kitokana na status).

Shoga tukiwa kwenye umbea ndo ananiuliza je shikamoo iendelee au?

Huyu mbaba akimpigia simu hata wewe ukiwa karubu huwezi hisi kama wanadate.

Mfano akipiga simu:
Mbaba: mambo dada? Hujambo dada?
Shoga yangu: sijambo shikamoo[emoji28].......hapa sasa ndo tunacheka hatuna mbavu......mara dada lakini niwapenzi wa siri sana.

Shoga ananiuliza akiendelea kumsalimia si ndo anaendelea kumuwekea hayo ma status yake?
Nilimuuliza shoga mkiwa faraga mnaitanaje? Akasema hatuitani majina yoyote wanakula wanacheka basi hivyo na anamuhudumia.

Tatizo la huyu mbaba rafiki yangu ni mpole sana ana maneno machache ila mcheshi.

Siku moja nikamtania ' vip nimekupa kitu chenya TBS? akajibu "super" hapo kamaliza

Mimi naona huyu akiendelea kusalimiwa mmh shoga kazi anayo.
Penzi likinoga shikamoo kwishnei
 
Hata mimi sijawahi kuipenda hii salamu
Iwe kumsalimia mtu au kusalimiwa mimi
 
Inakera sana inaweka sana gep inatufukuzia vichance vyakupata date, nishawahi kula zangu jeans kali tshirt black yan ukiniona tuu unasema T.I uyu hapa ile nimekaa kwenye kirestaurant flani kunatimiwa na wtoto wa chuo jirani si mda huo wakaanza kuingia kimakundi ebwana eeh nilichukia hii salamu kupita kiasi yani kalianza kadada kamoja kunisalimia shikamoo ndo kama kaliwambia wenzake wote yan wengine naona kabisa ni age yangu ya kudate nao wooote ni shikamoo shikamooo nyambavu pumbavu shikamoo[emoji36]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom