Shikamoo nyote

Shikamoo nyote

Jmwangi

New Member
Joined
May 6, 2015
Posts
3
Reaction score
0
Nawapa salamu zangu ili kujitambulisha hapa jamiiforums ili sote tuelimishane.
 
Mzee Es tunaomba tathmini kuhusu hali jinsi ilivyo na inavyoelendelea ndani ya chama chetu, manake hii kauli na haya majibishano ya katibu mkuu na mzee Sozigwa nayachukulia kwa uzito eti.

Unaumri gani niitikie salamu yako
 
Marahaba kijana karibu sana JF mjukuu wetu........
 
Back
Top Bottom