Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzee Es tunaomba tathmini kuhusu hali jinsi ilivyo na inavyoelendelea ndani ya chama chetu, manake hii kauli na haya majibishano ya katibu mkuu na mzee Sozigwa nayachukulia kwa uzito eti.
Nawapa salamu zangu ili kujitambulisha hapa jamiiforums ili sote tuelimishane
Unaumri gani niitikie salamu yako
Nawapa salamu zangu ili kujitambulisha hapa jamiiforums ili sote tuelimishane
Mambo mengine hata kama hutaki kucheka utacheka tu... khaa. Bora tubadili upepo kidogo na hizi figisufigisu za siasa
Poa kijana, niaje?
Nipo gas city kwa sasa nikisaka maisha.Katavi sehemu gani.mkuu