Shikamoo Simba SC kwa Uchawi nilihakikishiwa Mvua ikinyesha Asubuhi leo Yanga SC anafungwa na inanyesha kweli sasa

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
8,018
Reaction score
16,802
Asante CEO Barbara Gonzalez na Mwenyekiti wa Simba SC Murtaza Mangungu na Mwenyekiti wa Bodi ya Simba SC Salim Abdallah 'Try Again' kwa Kusikiliza Ushauri wa Wanachama na Kazi imeshamalizika hivyo leo wana Simba SC tunaenda kupata Furaha ya Ushindi.

Kwa Uchawi uliofanyika, Umakini mkubwa wa Kuificha Timu, na Watu Kulishana Yamini ili kutunza Siri na Kutosalitiana, kutafuta Wataalam makini na kuwapa Pesa yao waitakayo na kwa Mshikamano wetu nimeamini Simba SC ni Nguvu Moja kweli.

Jana usiku kuna Mtu Mmoja wa Kamati ya Uchawi na Fitna wa Simba SC aliniambia kuwa leo kati ya Saa 12 hadi Saa 4 Asubuhi nitaona ama Mvua au Manyunyu na nikiyaona tu jua Kazi imeshamalizika na Kukamilika hivyo Yanga SC anafungwa na kweli hilo limetokea na nimelishuhudia Mubashara.

Asanteni Simba SC Matawi ya Morogoro, Kikwajuni Zanzibar, Tanga, Ruvuma, Tabora na Dar es Salaam hakika Kazi yenu mmeifanya na KEROZENE nimeishuhudia. Watake wasitake Yanga SC wanakufa na wakiponapona basi wataambulia tu Sare.
 
Yaani we dogo genta una umavi mwingi sana kichwani.

Kungekuwa na uchawi uwanjani basi tungekuwa tunaona vingi na Nijeria wanachukua kombe la dunia.

Au tungeona enyimba au tp mazembe ni mabingwa kila mwaka.

Fala sana wewe dogo.

Subiri leo tukusokomeze 2 kavu halafu uje hapa jioni kuangalia uharo wako.
 
Asante CEO Barbara Gonzalez na Mwenyekiti wa Simba SC Murtaza Mangungu na Mwenyekiti wa Bodi ya Simba SC Salim Abdallah 'Try Again' kwa Kusikiliza Ushauri wa Wanachama na Kazi imeshamalizika hivyo leo wana Simba SC tunaenda kupata Furaha ya Ushindi...
Uchawi tena kazi mnayo mna hofu kweli na kipigo mtakachokipata leo itakuwa historia kamwe hamtasahau
 
Yaani we dogo genta una umavi mwingi sana kichwani.

Kungekuwa na uchawi uwanjani basi tungekuwa tunaona vingi na Nijeria wanachukua kombe la dunia.

Au tungeona enyimba au tp mazembe ni mabingwa kila mwaka.

Fala sana wewe dogo.

Subiri leo tukusokomeze 2 kavu halafu uje hapa jioni kuangalia uharo wako.
Hili zwa zwa linadanganywa na uchawi wa niger wa kwenye movies [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Asante CEO Barbara Gonzalez na Mwenyekiti wa Simba SC Murtaza Mangungu na Mwenyekiti wa Bodi ya Simba SC Salim Abdallah 'Try Again' kwa Kusikiliza Ushauri wa Wanachama na Kazi imeshamalizika hivyo leo wana Simba SC tunaenda kupata Furaha ya Ushindi.

Kwa Uchawi uliofanyika, Umakini mkubwa wa Kuificha Timu, na Watu Kulishana Yamini ili kutunza Siri na Kutosalitiana, kutafuta Wataalam makini na kuwapa Pesa yao waitakayo na kwa Mshikamano wetu nimeamini Simba SC ni Nguvu Moja kweli.

Jana usiku kuna Mtu Mmoja wa Kamati ya Uchawi na Fitna wa Simba SC aliniambia kuwa leo kati ya Saa 12 hadi Saa 4 Asubuhi nitaona ama Mvua au Manyunyu na nikiyaona tu jua Kazi imeshamalizika na Kukamilika hivyo Yanga SC anafungwa na kweli hilo limetokea na nimelishuhudia Mubashara.

Asanteni Simba SC Matawi ya Morogoro, Kikwajuni Zanzibar, Tanga, Ruvuma, Tabora na Dar es Salaam hakika Kazi yenu mmeifanya na KEROZENE nimeishuhudia. Watake wasitake Yanga SC wanakufa na wakiponapona basi wataambulia tu Sare.
Jitu litakufa ngapi Mkuu. Hujapenyezewa hiyo.

Ila FT SIMBA 3-1UTOPOLO
ITAPENDEZA.
 
Baadae hatutaki kumlaumu Patrick Rweyemamu kua ameuza mechi maana huyu ndio huwaga mnapaga Zigo la lawama.

Yanga wetu Mungu tu.
MUNGU ninayemjua huyu wa mbinguni hawezi kuhangaika na Utopolo.
 
Back
Top Bottom