Shikamoo wachawi, nimeamka kitandani miguu ikiwa na matope kibao

K 4 LIFE

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2015
Posts
2,567
Reaction score
416
Nachoweza kusema ni kwamba leo nimepatikana kwani sikuhamini nilipoamka asubuhi huku miguu yangu ikiwa na matope mazito kana kwamba nilikua nalima usiku kucha, sijajua kama wachawi walinilimisha usiku?Kwa kweli nimedata wakuu.

Msaada wenu wakuu
 
nachoweza kusema ni kwamba leo nimepatikana kwani sikuhamini nilipoamka asubuh huku miguu yangu ikiwa na matope mazito kana kwamba nilikua nalima usiku kucha, sijajua kama wachawi walinilimisha usiku? kwa kweli nimedata wakuu,msaada wenu wakuu
Wapi hiyo mzee?
 
Nachoweza kusema ni kwamba leo nimepatikana kwani sikuhamini nilipoamka asubuhi huku miguu yangu ikiwa na matope mazito kana kwamba nilikua nalima usiku kucha, sijajua kama wachawi walinilimisha usiku?Kwa kweli nimedata wakuu.

Msaada wenu wakuu
Ni tope miguuni tu? Kwingine kukosalama?
 
Nachoweza kusema ni kwamba leo nimepatikana kwani sikuhamini nilipoamka asubuhi huku miguu yangu ikiwa na matope mazito kana kwamba nilikua nalima usiku kucha, sijajua kama wachawi walinilimisha usiku?Kwa kweli nimedata wakuu.

Msaada wenu wakuu
Weka picha mkuu nione hilo tope kama ni la kichawi au la
 
Nachoweza kusema ni kwamba leo nimepatikana kwani sikuhamini nilipoamka asubuhi huku miguu yangu ikiwa na matope mazito kana kwamba nilikua nalima usiku kucha, sijajua kama wachawi walinilimisha usiku?Kwa kweli nimedata wakuu.

Msaada wenu wakuu
SI ULIKUWA SAFARINI KWENDA DRC KWA PIKIPIKI?! AU ULILALA PALE MIKUMI?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…