Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapi hiyo mzee?nachoweza kusema ni kwamba leo nimepatikana kwani sikuhamini nilipoamka asubuh huku miguu yangu ikiwa na matope mazito kana kwamba nilikua nalima usiku kucha, sijajua kama wachawi walinilimisha usiku? kwa kweli nimedata wakuu,msaada wenu wakuu
Usitangaze habari za mchawi bali mchawi atangaze habari zako.Aseme," Eeh huyu jamaa simuwezi manake anaye YESU".
Ni tope miguuni tu? Kwingine kukosalama?Nachoweza kusema ni kwamba leo nimepatikana kwani sikuhamini nilipoamka asubuhi huku miguu yangu ikiwa na matope mazito kana kwamba nilikua nalima usiku kucha, sijajua kama wachawi walinilimisha usiku?Kwa kweli nimedata wakuu.
Msaada wenu wakuu
Hahahaha mkuu ulidhani atakuwa na tope maeneo gani tena mkuu mbona mchokozi ivyoNi tope miguuni tu? Kwingine kukosalama?
Weka picha mkuu nione hilo tope kama ni la kichawi au laNachoweza kusema ni kwamba leo nimepatikana kwani sikuhamini nilipoamka asubuhi huku miguu yangu ikiwa na matope mazito kana kwamba nilikua nalima usiku kucha, sijajua kama wachawi walinilimisha usiku?Kwa kweli nimedata wakuu.
Msaada wenu wakuu
SI ULIKUWA SAFARINI KWENDA DRC KWA PIKIPIKI?! AU ULILALA PALE MIKUMI?!Nachoweza kusema ni kwamba leo nimepatikana kwani sikuhamini nilipoamka asubuhi huku miguu yangu ikiwa na matope mazito kana kwamba nilikua nalima usiku kucha, sijajua kama wachawi walinilimisha usiku?Kwa kweli nimedata wakuu.
Msaada wenu wakuu
Ingekua hivo wachaw wote wangeisha.Usitangaze habari za mchawi bali mchawi atangaze habari zako.Aseme," Eeh huyu jamaa simuwezi manake anaye YESU".
[emoji23] [emoji23]jikague vizuri
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji85] [emoji85] [emoji85]Ni tope miguuni tu? Kwingine kukosalama?
Du! Pole! Ngoja wajuzi wa masuala hayo wakija watakupa ufumbuzi! Pasco & Mshana Jr
Kaenda kulimishwa mahali hakuna tatizo kubwa kapata mazoezi huku akishiriki sera ya kilimo kwanza kwa vitendo halisiCC Mshana jr.