Shikamoo wasanii wa bongo, naomba mnijibu maswali yangu

Status
Not open for further replies.

Kachukua mapepo yOooteee kaacha moja lle la jana. .
 
Last edited by a moderator:
Mimi nna roho ngumu kama baba zangu ,alshabab ipo damunii siweki mtu kapuni wala ignore list hapa, halaf ingekua inatokea inawekwa ndondi live aiseee hhhhaa mimi siogopi mtu jamii ni mwendo wa niheshimu nikuheshimu maana sijaiba,sijaua kusema natafutwa na polisii niko huru kabisaaa,, sijavunja katiba na sheria ya nchii
Halaf mnaonitumia pm za hongera mpo wanafiki mkiona watu wanachambana mnapendaa wakati mkiwa huku mnacheka aisee usiamini mtu zaidi ya mama yako tuu watu humu wanafikiii ,bora mngetuma MPESA muniwachee
 

Naona siku hizi pm hazitumiki kwa matumizi yaliyo usahihi bali kwa matumizi ya unafiki.
 
Huko pm pasikie tuu weeee,watu nooma yaan unacheka na mtu kwenye thread halaf akichambwa unatuma pm chamba kabisa huyo jamanii na siwajibuu mfyuuuu

hahaaaaaaaaaaaaaaaaa......n!!!!!
hallllllooooooooowwwwwe!!!
hehrheiyyyyyyyyyyyaaaaaaA!
 

Hahahaha...aisee kumbe huko pm kuna mambo
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…