Diva Beyonce
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 12,913
- 11,271
hahaha wametoa movie bwana huyu mod huyu
Dinazarde kapigwa ban na hoe pia
Kah usiniambie what happened
Na kachelewa kweli,movie ya leo ilikua hatari mimi nilikua nashushia na juice kama sijanywa lita 5 sijui...
Naona ID mpya....uwiiiiii
usnambie wamefufuka lol
Wewe hujaiona tu?acha nisiseme wasije kufungiwa tena...
wapi huko nambie bwana au unataka nipelekwe ICU lol
Subiri tu utamjua mamii
Na kachelewa kweli,movie ya leo ilikua hatari mimi nilikua nashushia na juice kama sijanywa lita 5 sijui...
Nasikitika kuikosa movie hii aisee uwe unanistua atii
Ondoa shaka mumy
Aisee kuna mambo ni hizi team flani au kuna cha zaidi week hii ni shiiida
hahhaha maskini wamepata za mda gani....?
Nakuambia ni visa vyao vilishapita kumbe m1 wapo alikua na kinyongo...wacha wee ligi ilikua kali sana...