kimpe
JF-Expert Member
- Jan 26, 2012
- 911
- 862
Mi siwaamini na siwezi kuwaamini leo, kesho na hata milele haipaswi kumwamini muongo hata kama akisema ukwelinitakutumia ipo kwenye simu.........bado tu huamini au??????
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi siwaamini na siwezi kuwaamini leo, kesho na hata milele haipaswi kumwamini muongo hata kama akisema ukwelinitakutumia ipo kwenye simu.........bado tu huamini au??????
Inashangaza si kidogo..............,
huu muda wanaotumia kuumiza kichwa BMW imetoka wapi wangekua
wamelima Shamba hekari moja wakamaliza
Hahahaaaaaaaaaaaaaaaa nicheke mie wa kunifunza uwe wewe
wewe kweli Mwanga huu muda wa kunifunza hii elimu nasaha ungeitoa kwako na familia yako...
stress za jukwaa la siasa uje uzimalizie kwangu umevurugwa wewe tena umevurugwa mbele na nyuma
ulikuwepo wakati ana mkuwadia Lulu.......... Mpunga huwa unamla wewe.............
Mfyuuuu dume zima umekosa kazi za kufanya kuja kubishana na wanawake,
tafuta shuguli za kufanya mjini, wanaume wenzako wako busy kufanya kazi
wanahonga Murrano nyie ndio wale wapiga pumbu hata hela ya sabuni hamjui kutoa
hebu kafie mbele ya safari huko.................
Na wewe kwa huo muda wa ku coment umepoteza sh. Ngap? Nna wasiwasi na jinsia yako.
shemalemhhhhhhhhhhh jinsia yangu wahisi ni ipi.............
Mabadiliko ni ya tasnia nzima, sio ya media publicity ya dakika chache kisha ukafa masikini na kubaki stori. Sanaa ni kazi inayolipa duniani kote, ikiambatana na bidii na ubunifu pasi na majikwezo ya kumiliki nyumba na magari ya watu wengine. Tungependa walio mfano wawe kweli mfano kwa wengine wanaotamani kuwa kama wao, sio mtu atamani kuwa kama Diamond kumbe ana gari ya Chief Kiumbe.Sasa we unataka mabadiliko gani????????????????
walisema atatoa zawadi gani akatoa gari..., wakasema kadi iko wapi
tukawapa kadi..kadi wakasema jina wapi jina likaonyeshwa sa hivi mnasema
wanaweza ku edit......... Martin alisema yeye mwenyewe hawezi kununua hilo
gari kuna support kaipata... hata mimi hapo nikaona kweli,
ndio maana umekua adimu kumbe........
Mabadiliko ni ya tasnia nzima, sio ya media publicity ya dakika chache kisha ukafa masikini na kubaki stori. Sanaa ni kazi inayolipa duniani kote, ikiambatana na bidii na ubunifu pasi na majikwezo ya kumiliki nyumba na magari ya watu wengine. Tungependa walio mfano wawe kweli mfano kwa wengine wanaotamani kuwa kama wao, sio mtu atamani kuwa kama Diamond kumbe ana gari ya Chief Kiumbe.
Ukawapa kadi wewe na nani? Kwani wewe pia ni #TeamMadam Kahaba? Hoja ni kuwa wasanii waliotajwa ni waongo, kaka figganigga ameonesha mifano ya wasanii na watu maarufu wenye vijiasset na ambao hatusikii wakijigamba kama hawa wengine mnaowatetea.
Tumepata mfano halisi wa Wema ambaye zaidi ya mara moja amethibitika kusema urongo kuhusu ambavyo anamiliki kwa nia ya kujikweza. Bahati mbaya umegeuka wakili wake humu, sijui niungane na kimpe kusema kuwa huna hata hela ya pedi?
Jamani muda wa Magharibi huu...naomba mpambano usimame kwa muda tukasali kwanza halafu turudi....!
nani huyo anafuta comment aiseeee mbona mnakata stimu
Umeona eeeh,mimi mwenyewe nimeshangaa nikadhani ni hiki ki mchina changu...
Hahahaaaa,inshaallah ukhti
Mkuu hili ni jukwaa la Celebrities, Kama unataka kujua jinsi kutafuta hela nenda Jukwaa La Biashara na Uchumi ulikuja huku ukijua unakuja kupiga hela, Pole sana. Mia
Hahahahahaaa.....Halafu wewe siku nikikufuata huko utanibeba, kwanini ulinidanganya tuseme kila siku unasahau? Mia