Shikamoo wasanii wa bongo, naomba mnijibu maswali yangu

Shikamoo wasanii wa bongo, naomba mnijibu maswali yangu

Status
Not open for further replies.
We mwana weee

Leo nani kakuudhi??

ulikuwepo wakati ana mkuwadia Lulu.......... Mpunga huwa unamla wewe.............

Mfyuuuu dume zima umekosa kazi za kufanya kuja kubishana na wanawake,
tafuta shuguli za kufanya mjini, wanaume wenzako wako busy kufanya kazi
wanahonga Murrano nyie ndio wale wapiga pumbu hata hela ya sabuni hamjui kutoa
hebu kafie mbele ya safari huko.................
 
Sasa we unataka mabadiliko gani????????????????

walisema atatoa zawadi gani akatoa gari..., wakasema kadi iko wapi
tukawapa kadi..kadi wakasema jina wapi jina likaonyeshwa sa hivi mnasema
wanaweza ku edit......... Martin alisema yeye mwenyewe hawezi kununua hilo
gari kuna support kaipata... hata mimi hapo nikaona kweli,

ndio maana umekua adimu kumbe........
Mabadiliko ni ya tasnia nzima, sio ya media publicity ya dakika chache kisha ukafa masikini na kubaki stori. Sanaa ni kazi inayolipa duniani kote, ikiambatana na bidii na ubunifu pasi na majikwezo ya kumiliki nyumba na magari ya watu wengine. Tungependa walio mfano wawe kweli mfano kwa wengine wanaotamani kuwa kama wao, sio mtu atamani kuwa kama Diamond kumbe ana gari ya Chief Kiumbe.

Ukawapa kadi wewe na nani? Kwani wewe pia ni #TeamMadam Kahaba? Hoja ni kuwa wasanii waliotajwa ni waongo, kaka figganigga ameonesha mifano ya wasanii na watu maarufu wenye vijiasset na ambao hatusikii wakijigamba kama hawa wengine mnaowatetea.

Tumepata mfano halisi wa Wema ambaye zaidi ya mara moja amethibitika kusema urongo kuhusu ambavyo anamiliki kwa nia ya kujikweza. Bahati mbaya umegeuka wakili wake humu, sijui niungane na kimpe kusema kuwa huna hata hela ya pedi?
 
Last edited by a moderator:
U

Mkuu Mphamvu Mimi nakushauri hili kuwe na mjadala wenye tija na amani weka pembeni matusi!
Ni bora tukaacha kujadili kama tutaendelea kuamini matusi ni hoja!

Jenga hoja nje ya matusi kama alivyo jaribu mtoa mada kinyume na hapo mada hii itafungwa na utakuwa hujamtendea haki mtoa mada!

Samahani lakini!
 
Last edited by a moderator:

Hahahahahaaa.....Halafu wewe siku nikikufuata huko utanibeba, kwanini ulinidanganya tuseme kila siku unasahau? Mia

Ayaaaaaa...........hivi ulisema voda au tigo.........?.......halafu mambo ni mengi ujue........
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom