Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bora umekaa kimya umejiepusha na kipimo cha mkojoSina la kusema mkuu,usiku mwema
Rais ndio mwanaume no1 katika nchi kama ilivyo firstlady kuwa mwanamke no1. Nadhani nimekujibuHivi mwanaume unaanzia wapi kuangalia kipindi cha umbea cha shilawadu?
Labda kwa kuwa kinaendeshwa na wavulana wenzaoHivi mwanaume unaanzia wapi kuangalia kipindi cha umbea cha shilawadu?
Mi pia nahisi hivyoLabda kwa kuwa kinaendeshwa na wavulana wenzao
Tabia zako za kike sanaUnaanglia t.v kwa shemeji alafu unasimulia humu..rubbish
Kakaa chumbani kwake sebuleniUnaanglia t.v kwa shemeji alafu unasimulia humu..rubbish
JPMHata wanaume wanaangalia shilawadu!!!
A.k.a DalaliNaangalia hawa madogo,naona leo ni stori za diamond tu karibia lisaaa lizima,huku wakimpiga vijembe Sallam eti awaachie msanii wao...kumbe wanampenda sana Chibu na wananjua kabisa bila chibu kipindi chao hamna kitu...hii ni ishara clouds media bila diamond haina mvuto!!!