SHILAWADU bana,leo kipindi kizima stori za Diamond

SHILAWADU bana,leo kipindi kizima stori za Diamond

Hivi mwanaume unaanzia wapi kuangalia kipindi cha umbea cha shilawadu?
 
Hivi mwanaume unaanzia wapi kuangalia kipindi cha umbea cha shilawadu?
Rais ndio mwanaume no1 katika nchi kama ilivyo firstlady kuwa mwanamke no1. Nadhani nimekujibu
 
Hawana jipya kabisa. Najiuliza siku diamond akaomba kinga ya kisheria asizungumziwe nao itakua kipindi cha kimekufa?
 
Wadao wanakuza BEEF wanadai zinakuza mZiki.

Mazwazwa mtaendelea kupigwa na hawa so called "Wadau wa mziki" jazaneni kwenye Show zao tu,kila kukiwa na Event zao huwa zinazuka miBIFU.
 
Naangalia hawa madogo,naona leo ni stori za diamond tu karibia lisaaa lizima,huku wakimpiga vijembe Sallam eti awaachie msanii wao...kumbe wanampenda sana Chibu na wananjua kabisa bila chibu kipindi chao hamna kitu...hii ni ishara clouds media bila diamond haina mvuto!!!
A.k.a Dalali
 
Back
Top Bottom