ablekats619
Senior Member
- Aug 11, 2020
- 129
- 202
Shida bei mkuu wa bongo tuta weza nunua kwa bei za hao wakubwa kama za simba na yanga za 40,000 tunaliaSina maana ya kubeza udhamini huu, lakini ifike wakati tutazame mambo kwa hatua kadhaa mbele. Hivi tumeshindwa kabisa kuwavuta wadhamini wakubwa huko kina adidas, nike n.k?
Wanavokuja wale maraisa wa FIFA, sijui watendaji wakubwa wa FIFA, ma CEO huko hatujishughulishi hata kuwauliza A,B,C ambazo ni nzuri nasi tukapata hata pa kuanzia au tunapiga nao picha tu kisha wanaondoka?
Sent from my SM-A536E using JamiiForums mobile app