ablekats619
Senior Member
- Aug 11, 2020
- 129
- 202
Shida bei mkuu wa bongo tuta weza nunua kwa bei za hao wakubwa kama za simba na yanga za 40,000 tunaliaSina maana ya kubeza udhamini huu, lakini ifike wakati tutazame mambo kwa hatua kadhaa mbele. Hivi tumeshindwa kabisa kuwavuta wadhamini wakubwa huko kina adidas, nike n.k?
Wanavokuja wale maraisa wa FIFA, sijui watendaji wakubwa wa FIFA, ma CEO huko hatujishughulishi hata kuwauliza A,B,C ambazo ni nzuri nasi tukapata hata pa kuanzia au tunapiga nao picha tu kisha wanaondoka?
Sent from my SM-A536E using JamiiForums mobile app
Wasiwasi wako.Acha hizo wew, Sandaland ni kampuni tu haina mahusiano yeyote na Simba
Mkuu nadhani point yangu haijaeleweka. Na nmeandika hapo juu sina maana ya kubeza, nmeuliza tu kwa kutamani kuwa angalau tujitutumue kwenye jersey za NT, ndio point yangu.Watanzania tuna changamoto ya kutothamini vya nyumbani, hta hao nike walianza km sandaland.
Mkuu kampuni ulizo zitaja ni kampuni kubwa Duniani haziwezi kuja kuwekeza kwetu.Hizi jezi zetu mzalishaji ni nani? Adidas, Nike, Umbro, Diadora, uhlsport au?
Mkuu timu yetu ya Taifa bado timu changa kidunia kwaiyo kampuni za Dunia haziwezi kuja kuwekeza kwenye Timu zetu za Taifa na klabu zetu, ili Kampuni za Nike, Puma , Adidas ili zije Tanzania lazima Taifa stars iwe inashiriki mashindano makubwa mfano Afcon, mfano timu za vijana hazi shiriki mashindano ya vijana, sasa kama Taifa stars kushiriki Afcon kila baada ya miaka 30 unadhani kampuni gani ya kimataifa itakubali kuja kutupa pesa zake.Dah! ila bongo...
Yaani mmiliki wa biashara ya duka la nguo leo kawa designer kama kina Nike, Umbro, Adidas n.k...
Anyway mwenye nacho hupewa zaidi, acha watu wale pesa...
Mkuu timu yetu ya Taifa bado timu changa kidunia kwaiyo kampuni za Dunia haziwezi kuja kuwekeza kwenye Timu zetu za Taifa na klabu zetu, ili Kampuni za Nike, Puma , Adidas ili zije Tanzania lazima Taifa stars iwe inashiriki mashindano makubwa mfano Afcon, mfano timu za vijana hazi shiriki mashindano ya vijana, sasa kama Taifa stars kushiriki Afcon kila baada ya miaka 30 unadhani kampuni gani ya kimataifa itakubali kuja kutupa pesa zake.
Utengenezaji wa jezi kwa makampuni makubwa ni biashara isiyojali umaarufu au mafanikio ya timu za taifa...
Rwanda ya kina Niyonzoma, Mbuyu Twite ilikuwa inatengenezewa jezi na Adidas, je unadhani walikuwa wana mafanikio kiasi ulichokieleza?
Kampuni kubwa wana vigezo vyao sizani kama sasa hivi Adidas bado wanaidhamini Rwanda, mfano wanaweza kuja Tanzania kuidhamini Timu zote za Taifa kuanzia timu ya wakubwa mpaka timu za vijana na wanawake, lakini masharti yao lazima timu za vijana zishiriki mashindano ya kimataifa mfano kombe la Afrika la vijana, kombe la dunia la vijana.**** mwaka Adidas walitaka kujitoa kuidhamini Nigeria kwa sababu ya kufanya vibaya mashindano ya kimataifa.Utengenezaji wa jezi kwa makampuni makubwa ni biashara isiyojali umaarufu au mafanikio ya timu za taifa...
Rwanda ya kina Niyonzoma, Mbuyu Twite ilikuwa inatengenezewa jezi na Adidas, je unadhani walikuwa wana mafanikio kiasi ulichokieleza?
Watu wanafikiri Adidas kama Vunja bei kuwa wanaenda team yeyote 😂😂😂😂😂😂Kampuni kubwa wana vigezo vyao sizani kama sasa hivi Adidas bado wanaidhamini Rwanda, mfano wanaweza kuja Tanzania kuidhamini Timu zote za Taifa kuanzia timu ya wakubwa mpaka timu za vijana na wanawake, lakini masharti yao lazima timu za vijana zishiriki mashindano ya kimataifa mfano kombe la Afrika la vijana, kombe la dunia la vijana.**** mwaka Adidas walitaka kujitoa kuidhamini Nigeria kwa sababu ya kufanya vibaya mashindano ya kimataifa.
Kuna kuvaa jersey na kuvalishwa na hao Adidas,
Leta ushahidi wa Rwanda kuingia mkataba na Adidas wa kuwavalisha hao Amavubi,
Hata hapa bongo simba na yanga walikuwa wanavaa jersey za Uhlsports ila walikuwa hawalambi hata mia mbovu, same applied to stars
Sidhani kama ana kiwanda sehemuKumbe, jamaa kiwanda chake kipo wapi au anatumia wazalishaji wengine yeye anaweka chapa tu
Watuthamini japo kidogo, mbona puma walishamiliki kiwanda pale morogoro cha kuzalisha sports wear? Watudhamini hao pumaMkuu kampuni ulizo zitaja ni kampuni kubwa Duniani haziwezi kuja kuwekeza kwetu.
Okay hapo sawaa... ila kwa wenye uzoefu inawezekana huyo ni kama kanyaboya... kuna watu behind the scene... UBO??Mzee baba mmliki kaandikwa hapa...
Duuh basi sawaa... anakuja juuuMrundi mmoja wa Kigoma.
Acha roho mbaya.Dah! ila bongo...
Yaani mmiliki wa biashara ya duka la nguo leo kawa designer kama kina Nike, Umbro, Adidas n.k...
Anyway mwenye nacho hupewa zaidi, acha watu wale pesa...
Wananchi wenu hawana uwezo wa kununua jezi kwa zaidi ya lakiSina maana ya kubeza udhamini huu, lakini ifike wakati tutazame mambo kwa hatua kadhaa mbele. Hivi tumeshindwa kabisa kuwavuta wadhamini wakubwa huko kina adidas, nike n.k?
Wanavokuja wale maraisa wa FIFA, sijui watendaji wakubwa wa FIFA, ma CEO huko hatujishughulishi hata kuwauliza A,B,C ambazo ni nzuri nasi tukapata hata pa kuanzia au tunapiga nao picha tu kisha wanaondoka?
Sent from my SM-A536E using JamiiForums mobile app
Hayo hayakuhusu kwani we ulishaona kiwanda cha Nike?Kumbe, jamaa kiwanda chake kipo wapi au anatumia wazalishaji wengine yeye anaweka chapa tu
Okay hapo sawaa... ila kwa wenye uzoefu inawezekana huyo ni kama kanyaboya... kuna watu behind the scene... UBO??