Shilingi Milioni 30 Timu inaomba ilipe kwa awamu mbili? Dharau za CCM kwa Watanzania ni sawa na hizi timu kwa wachezaji wa ndani

50cent

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2014
Posts
294
Reaction score
216
Iwe ni kweli au siyo kweli, kuna wachezaji wa nje wanalipwa mshahara zaidi ya hiyo signing fee kwa mwezi na wanalipwa bila shida yoyote, usajili wa wachezaji wa nje hauna shida yoyote lakini ikifika suala la mchezaji wa ndani, kwanza wanashushwa thamani, mishahara midogo, usajili migogoro.

Kweli Simba na Yanga ni ndugu wa damu na CCM linapokuja suala la maslahi ya mtanzania mwenzie.
 
Viwango vyao ? Waende nje wapate pesa zaidi....tupambane kwenye viwango sio kulalamika tu....wakienda trials wanafeli....
 
Viwango vyao ? Waende nje wapate pesa zaidi....tupambane kwenye viwango sio kulalamika tu....wakienda trials wanafeli....
una uhakika hizi timu zinapenda wachezaji wa ndani waende kucheza nnje?
 
...Gharama za usajili shilingi Milioni 30 Timu inaomba ilipe kwa awamu mbili?
Tena hapo kwa kumpa mchezaji mkataba wa miaka mitatu!
Ndio maana nimesema hiyo hati ya malipo iliyoonyeshwa jana na mwanasheria msomi ilikuwa ni malipo ya deni la Yanga kwenda kwa Singida FG kwa ajili ya usajili wa Kibabage, sio usajili wa Kagoma
 
Mbumbumbu wewe
Nani kakwambia ni Ya kibabage
 
Tena hapo kwa kumpa mchezaji mkataba wa miaka mitatu!
Ndio maana nimesema hiyo hati ya malipo iliyoonyeshwa jana na mwanasheria msomi ilikuwa ni malipo ya deni la Yanga kwenda kwa Singida FG kwa ajili ya usajili wa Kibabage, sio usajili wa Kagoma

Ndugu mbumbumbu ebu jiulize swali rahisi hivi ni kwanini uongozi wa Yusufu Kagoma uliomba Yanga waliondoe shauri hili kwenye kamati wakayamalize pembeni wakati mazingira kwa kesi iyo kwao ni rahisi na kuwashinda Yanga!!
Maana yake Kuna mengi wanayafahamu kuliko wewe mbumbumbu.

Bahati mbaya zaidi kumbe Simba Walisha taarifiwa kwenye kikao wasimtumie Kagoma kwakua Bado ishu yake haipo sawa.
Tunapo elekea nikutamu kuliko Mwanzo wa stori.
 
Ccm inaingiaje hapa ktk jukwa la michezo?
 
Viwango vyao ? Waende nje wapate pesa zaidi....tupambane kwenye viwango sio kulalamika tu....wakienda trials wanafeli....
Wachezaji wa ndani hata awe na kiwango usumbufu upo palepale ikifika kuongeza mkataba tofauti na wachezaji wa nje

Na wachezaji wa nje walishajua kuwa hamthamini vya kwenu. Hili suala hata Bakari Nondo alishaliongelea:- Hawathaminiki kwa viongozi hadi mashabiki
 
Yanga haijawahi kuwa makini inapokuja suala la sheria,wakati wa morison kelele hivo hivo kuonyesha makaratasi mwisho hamna lolote,mnaonekana wajinga hamjawahi kuwin suala lolote la kisheria maana mikataba yenu ni ujanja ujanja
 
Swala la Morrison Yanga wali dhulumiwa haki Yao na wakajipanga kwenye uwekezaji wa timu na bench la ufundi kwasasa Yanga wako mbali wao Yanda ndio Wana tamba kwa Makombe ndani ya uwanja.

Kitu kingine ambacho mbumbumbu hawafahamu na ndicho ambacho Yanga wame bobea ni ku set ajenda ya Nini kijadiliwe katika mpira wa miguu Nchini.

Bahati mbaya Mbumbumbu fc uwa mnajazwa na kujaa na kwenda na Ajenda wanayo itaka.
 
Bahati mbaya zaidi kumbe Simba Walisha taarifiwa kwenye kikao wasimtumie Kagoma kwakua Bado ishu yake haipo sawa.
Tunapo elekea nikutamu kuliko Mwanzo wa stori.
Sasa kama mnakoelekea ni kutamu, kuna haja gani ya kuitisha press? Jiulize chura 🤣 🤣 🤣
 
Kwaiyo wewe tupe thamani ya kagoma ni shingapi?
 
Yanga haijawahi kuwa makini inapokuja suala la sheria,wakati wa morison kelele hivo hivo kuonyesha makaratasi mwisho hamna lolote,mnaonekana wajinga hamjawahi kuwin suala lolote la kisheria maana mikataba yenu ni ujanja ujanja
Nyie mmewini lipi tuambie, msimu huu ndio mmeboronga kabisa kesi kibao, anzia suala la awesu awesu kama sio busara za kmc alikuwa achezi Mpira pale, nenda lameki lawi ni yale yale, nenda kwa Valentino na sasa kagoma, viongozi wenu ndio Wenye matatizo wanadhani bado watu ni mbumbumbu kama miaka Ile!
 
Tusaidie kujua bei ya Yusuph Kagoma. Yawezekana wenye mchezaji na wanunuzi walipitiwa hapo!
 
Utopolo ni kulia Lia mnyama anawanyosha tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…