Shilingi Milioni 30 Timu inaomba ilipe kwa awamu mbili? Dharau za CCM kwa Watanzania ni sawa na hizi timu kwa wachezaji wa ndani

Shilingi Milioni 30 Timu inaomba ilipe kwa awamu mbili? Dharau za CCM kwa Watanzania ni sawa na hizi timu kwa wachezaji wa ndani

una uhakika hizi timu zinapenda wachezaji wa ndani waende kucheza nnje?
Klabu Haina hati miliki ya milele ya wachezaji wa ndani. Kama uwezo upo nje utaenda na haiwezi kuzuiliwa na klabu za Simba na Yanga. Bora hata wangekuwaga na uthubutu wa kuingiza mkataba wa miaka sita mpaka nane lakini hii ya miaka miwili miwili.
 
una uhakika hizi timu zinapenda wachezaji wa ndani waende kucheza nnje?
Sio kila anayekwenda nje anafanikiwa. Wapo wanaokwenda lakini hakuna cha maana kinachoendelea. Hivyo kuna situations sio tu kwakua imekuja ya nje lazima umruhusu mchezaji. Tathimini maslahi ya timu na mchezaji
 
Nyie mmewini lipi tuambie, msimu huu ndio mmeboronga kabisa kesi kibao, anzia suala la awesu awesu kama sio busara za kmc alikuwa achezi Mpira pale, nenda lameki lawi ni yale yale, nenda kwa Valentino na sasa kagoma, viongozi wenu ndio Wenye matatizo wanadhani bado watu ni mbumbumbu kama miaka Ile!
Usikaze fuvu,hizo busara ndo kushinda kwenyewe,sio kama nye mnapiga kelele kila mwaka halafu hamna lolote,utaona mwenyewe,kagoma ameshacheza mechi za simba,na ataendelea kucheza na mtaishia kupiga kelele tu tu hamwezi lolote maana kwenye sheria ni vichwa wazi
 
Swala la Morrison Yanga wali dhulumiwa haki Yao na wakajipanga kwenye uwekezaji wa timu na bench la ufundi kwasasa Yanga wako mbali wao Yanda ndio Wana tamba kwa Makombe ndani ya uwanja.

Kitu kingine ambacho mbumbumbu hawafahamu na ndicho ambacho Yanga wame bobea ni ku set ajenda ya Nini kijadiliwe katika mpira wa miguu Nchini.

Bahati mbaya Mbumbumbu fc uwa mnajazwa na kujaa na kwenda na Ajenda wanayo itaka.
Hamseti lolote ,baada ya kuona mnafeli mnaanza kusema hivo,halafu nimeongelea suala la sheria siyo makombe.
 
Wachezaji wa ndani hata awe na kiwango usumbufu upo palepale ikifika kuongeza mkataba tofauti na wachezaji wa nje

Na wachezaji wa nje walishajua kuwa hamthamini vya kwenu. Hili suala hata Bakari Nondo alishaliongelea:- Hawathaminiki kwa viongozi hadi mashabiki
Binafsi hili huwa linaniuma sana mpaka huwa najikuta natamani kuanzisha timu yangu ambayo itatambua umuhimu na kutathimini vipaji vya wazawa.
 
Sio kila anayekwenda nje anafanikiwa. Wapo wanaokwenda lakini hakuna cha maana kinachoendelea. Hivyo kuna situations sio tu kwakua imekuja ya nje lazima umruhusu mchezaji. Tathimini maslahi ya timu na mchezaji
Kwamba kuliko kwenda Wydad ni heri ubaki kwenye viunga vya kariakoo kwenye timu zinazochukulia poa vipaji vya wazawa sio??
 
Kwamba kuliko kwenda Wydad ni heri ubaki kwenye viunga vya kariakoo kwenye timu zinazochukulia poa vipaji vya wazawa sio??
Kwa kauli hiyo mchezaji ana haki ya kuondoka. Ila kama unazungumzia Yanga au Simba sidhani kama kwa sasa hilo lipo.
 
Ndugu mbumbumbu ebu jiulize swali rahisi hivi ni kwanini uongozi wa Yusufu Kagoma uliomba Yanga waliondoe shauri hili kwenye kamati wakayamalize pembeni wakati mazingira kwa kesi iyo kwao ni rahisi na kuwashinda Yanga!!
Maana yake Kuna mengi wanayafahamu kuliko wewe mbumbumbu.

Bahati mbaya zaidi kumbe Simba Walisha taarifiwa kwenye kikao wasimtumie Kagoma kwakua Bado ishu yake haipo sawa.
Tunapo elekea nikutamu kuliko Mwanzo wa stori.
Ishu sio kesi ishu ni mil30 kulipwa kwa awamu
 
Back
Top Bottom