Noti bandia
JF-Expert Member
- May 3, 2020
- 2,684
- 4,315
Klabu Haina hati miliki ya milele ya wachezaji wa ndani. Kama uwezo upo nje utaenda na haiwezi kuzuiliwa na klabu za Simba na Yanga. Bora hata wangekuwaga na uthubutu wa kuingiza mkataba wa miaka sita mpaka nane lakini hii ya miaka miwili miwili.una uhakika hizi timu zinapenda wachezaji wa ndani waende kucheza nnje?