Iwe ni kweli au siyo kweli, kuna wachezaji wa nje wanalipwa mshahara zaidi ya hiyo signing fee kwa mwezi na wanalipwa bila shida yoyote, usajili wa wachezaji wa nje hauna shida yoyote lakini ikifika suala la mchezaji wa ndani, kwanza wanashushwa thamani, mishahara midogo, usajili migogoro.
Kweli Simba na Yanga ni ndugu wa damu na CCM linapokuja suala la maslahi ya mtanzania mwenzie.
Kweli Simba na Yanga ni ndugu wa damu na CCM linapokuja suala la maslahi ya mtanzania mwenzie.