Shilingi ya Kitanzania yapata nguvu ghafla. Je, huu ni mwanzo mpya?

Shilingi ya Kitanzania yapata nguvu ghafla. Je, huu ni mwanzo mpya?

Kushuka Kwa Dola Kuna wana uchumi vichaa wa Tanzania Wadai serikali Yao ndiyo imesababisha wakati ukweli ni siasa(uchaguzi marekani) ndiyo imepelekea hivyo.kuanzia mwezi wa kwanza Dola itapanda mara dufu zaidi ya ilivyokuwa hapo awali
 
Yani sijaelewa ni kitu kinaifanya kila siku dola inazidi kushuka dhidi ya tzs, jana imenibidi nitoe dollar zangu nizibadili into tshs na nimejuta kwanini sikuzibadili toka last week maana nimekula hasara aisee. jana ilikuwa 2349 hivi nashanga imeshuka tena leo. Aisee ni hatari.
Hakuna investors mwenye akili kama yako mkuu,......haupo serious,uuze assets zako kwa kutegemea short term movement ya market?
 
Hakuna investors mwenye akili kama yako mkuu,......haupo serious,uuze assets zako kwa kutegemea short term movement ya market?
Hakuna sehemu nilikwambia nainvest... Nimesema nilihold usd ili nifanye jambo fulani january sasa imeanza shuka thamani so imebidi nizibadili ziwe tshs kabla haijashuka zaidi na january hii hapa.
 
Back
Top Bottom