Yani sijaelewa ni kitu kinaifanya kila siku dola inazidi kushuka dhidi ya tzs, jana imenibidi nitoe dollar zangu nizibadili into tshs na nimejuta kwanini sikuzibadili toka last week maana nimekula hasara aisee. jana ilikuwa 2349 hivi nashanga imeshuka tena leo. Aisee ni hatari.