SHILLINGI YA TANZANIA INAVYOZIDI KUSHUKA KWA KASI YA AJABU

koryo1952

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2023
Posts
1,289
Reaction score
2,199
Leo tumehabarishwa na Benki Kuu ya Tanzania(BOT) jinsi shillingi ya Tanzania bado ni HIMILIVU. Binafsi mimi sikuelewa maelezo yao lakini cha ajabu leo Dollar moja ya Kimarekeani ni Tshs.2,642.934 na wiki ijayo si ajabu utakuta Dollar moja ya Kimarekani itakuwa Tshs.3,000. Bado thamani ya shillingi yetu inashuka dhidi ya majirani zetu. Kwa mwendo huu kila kitu kitakuwa ghali hasa nishati ya mafuta. Gavana wa Benki Kuu unatakiwa kuchukua hatua za haraka.
 
Relax deni letu ni him ilikuwa aha ha 😆 🤣 😄 wewe ulitegemea tutuba asemeje
 
Leo tumehabarishwa na Benki Kuu ya Tanzania(BOT) jinsi shillingi ya Tanzania bado ni HIMILIVU. Binafsi mimi sikuelewa maelezo yao lakini cha ajabu leo Dollar moja ya Kimarekeani ni Tshs.2,642.934 na wiki ijayo si ajabu utakuta Dollar moja ya Kimarekani itakuwa Tshs.3,000. Bado thamani ya shillingi yetu inashuka dhidi ya majirani zetu. Kwa mwendo huu kila kitu kitakuwa ghali hasa nishati ya mafuta. Gavana wa Benki Kuu unatakiwa kuchukua hatua za haraka.
Gavana hapo uliza mshahara wake ndiyo ujue tuna nchi ya kijinga haswa
 
Nafikiri huu ndio muda yule waziri anayemiliki bureau de change kutajirika 🐼
 
Leo tumehabarishwa na Benki Kuu ya Tanzania(BOT) jinsi shillingi ya Tanzania bado ni HIMILIVU. Binafsi mimi sikuelewa maelezo yao lakini cha ajabu leo Dollar moja ya Kimarekeani ni Tshs.2,642.934 na wiki ijayo si ajabu utakuta Dollar moja ya Kimarekani itakuwa Tshs.3,000. Bado thamani ya shillingi yetu inashuka dhidi ya majirani zetu. Kwa mwendo huu kila kitu kitakuwa ghali hasa nishati ya mafuta. Gavana wa Benki Kuu unatakiwa kuchukua hatua za haraka.
Ngoja tuone
 
Lazima iwe dhaifu, kwa huu uchawa wa kina Tlaatlaah na ChoiceVariable usitegeme shilingi kuwa imara.
BOT walishatoa taraarifa kwa kina sana dhidi ya upotoshaji wa aina hizo, usio na faida yoyote popote nchini,

hata hivyo,
kwa Taifa makini na lenye viongozi madhubuti wenye maono kama Dr.Samia Suluhu Hassan,
changamoto zote za kiuchumi, hata kama ni za kizushi, but huchukuliwa na kutumika kama ya fursa ya kua na mipango mikakati makini zaidi, na kujiimarisha zaidi kiuchumi kama nchi kupitia taasisi na wizara husika.

so,
hakuna haja ya kubabaika na mambo madogomadogo kama haya gentleman :NoGodNo:
 
Tutuba ndio jina, tuwekane sawa tusije kujisahau kwenye mjadala wetu.

Wajuu akiwa wa elimu ya kuunga unga usitegemee wasaidizi wake kuwa kipanga,ndege wafananao huruka pamoja.
 
BOT walishatoa taraarifa kwa kina sana dhidi ya upotoshaji wa aina hizo, usio na faida yoyote popote nchini,

hata hivyo,
kwa Taifa makini na lenye viongozi madhubuti wenye maono kama Dr.Samia Suluhu Hassan,
changamoto zote za kiuchumi, hata kama ni za kizushi, but huchukuliwa na kutumika kama ya fursa ya kua na mipango mikakati makini zaidi, na kujiimarisha zaidi kiuchumi kama nchi kupitia taasisi na wizara husika.

so,
hakuna haja ya kubabaika na mambo madogomadogo kama haya gentleman :NoGodNo:
Tulipita vizuri tukiwa na COVID na shilingi ilikuwa stable,sasa hamna janga lolote,tunasingizia nini?
 
kama taifa tupo vizuri kiuchumi, kisiasa na kijamii, na kwakweli tunaendelea vizuri zaidi kusonga mbele pamoja gentleman :NoGodNo:
 
BOT walishatoa taraarifa kwa kina sana dhidi ya upotoshaji wa aina hizo, usio na faida yoyote popote nchini,

hata hivyo,
kwa Taifa makini na lenye viongozi madhubuti wenye maono kama Dr.Samia Suluhu Hassan,
changamoto zote za kiuchumi, hata kama ni za kizushi, but huchukuliwa na kutumika kama ya fursa ya kua na mipango mikakati makini zaidi, na kujiimarisha zaidi kiuchumi kama nchi kupitia taasisi na wizara husika.

so,
hakuna haja ya kubabaika na mambo madogomadogo kama haya gentleman :NoGodNo:
Kwanza usipende kutumia Dr kwa mtu ambae amepewa udaktari wa heshima, it makes no sense. Wacha watu waliosomea udaktari wa bonadamu tuwape heshima hiyo.

Pili usipende kuandika vitu usivyo na uelewa navyo, shilingi inaporomoka na hakuna propaganda za kujisafisha zaidi ya kufanya regulations kurekebisha hiyo hali.

Tatu acha kuwa chawa.
 
gentleman,
serikali sikivu ya CCM chini ya kiongozi imara na madhubuti Dr.Samia Suluhu Hassa haiwezi kuyumba wala kutetereka kwasababu tu, ati vibaka na mateapeli wa kisiasa amekaa mahali wanapotoshana kuhusu shilingi au uchumi wa Tanzania.

hata hivyo,
changamoto zote za kiuchumi zinazotokea Tanzania, huatatuliwa na kudhibitiwa kwa ustadi mkubwa na mara zote changamoto hizo huwa ni fursa ya kujiimarisha na kufanya vizuri zaidi.

porojo na stori za patapotea hazina maana sana kwenye mambo haya muhimu :NoGodNo:
 
Leo tumehabarishwa na Benki Kuu ya Tanzania(BOT) jinsi shillingi ya Tanzania bado ni HIMILIVU. Binafsi mimi sikuelewa maelezo yao lakini cha ajabu leo Dollar moja ya Kimarekeani ni Tshs.2,642.934 na wiki ijayo si ajabu utakuta Dollar moja ya Kimarekani itakuwa Tshs.3,000. Bado thamani ya shillingi yetu inashuka dhidi ya majirani zetu. Kwa mwendo huu kila kitu kitakuwa ghali hasa nishati ya mafuta. Gavana wa Benki Kuu unatakiwa kuchukua hatua za haraka.

View: https://www.instagram.com/p/DIB9WO4MvBU/?igsh=MWo5cTl0Y2V2c2hubA==
 
Back
Top Bottom