Relax deni letu ni him ilikuwa aha ha 😆 🤣 😄 wewe ulitegemea tutuba asemejeLeo tumehabarishwa na Benki Kuu ya Tanzania(BOT) jinsi shillingi ya Tanzania bado ni HIMILIVU. Binafsi mimi sikuelewa maelezo yao lakini cha ajabu leo Dollar moja ya Kimarekeani ni Tshs.2,642.934 na wiki ijayo si ajabu utakuta Dollar moja ya Kimarekani itakuwa Tshs.3,000. Bado thamani ya shillingi yetu inashuka dhidi ya majirani zetu. Kwa mwendo huu kila kitu kitakuwa ghali hasa nishati ya mafuta. Gavana wa Benki Kuu unatakiwa kuchukua hatua za haraka.
Gavana hapo uliza mshahara wake ndiyo ujue tuna nchi ya kijinga haswaLeo tumehabarishwa na Benki Kuu ya Tanzania(BOT) jinsi shillingi ya Tanzania bado ni HIMILIVU. Binafsi mimi sikuelewa maelezo yao lakini cha ajabu leo Dollar moja ya Kimarekeani ni Tshs.2,642.934 na wiki ijayo si ajabu utakuta Dollar moja ya Kimarekani itakuwa Tshs.3,000. Bado thamani ya shillingi yetu inashuka dhidi ya majirani zetu. Kwa mwendo huu kila kitu kitakuwa ghali hasa nishati ya mafuta. Gavana wa Benki Kuu unatakiwa kuchukua hatua za haraka.
Teuzi za kikada, makada wenyewe kichwan emptyAthari za teuzi za kikabila ndiyo hizi
Yanabebwa na ushirikina + rushwa tupuTeuzi za kikada, makada wenyewe kichwan empty
Ngoja tuoneLeo tumehabarishwa na Benki Kuu ya Tanzania(BOT) jinsi shillingi ya Tanzania bado ni HIMILIVU. Binafsi mimi sikuelewa maelezo yao lakini cha ajabu leo Dollar moja ya Kimarekeani ni Tshs.2,642.934 na wiki ijayo si ajabu utakuta Dollar moja ya Kimarekani itakuwa Tshs.3,000. Bado thamani ya shillingi yetu inashuka dhidi ya majirani zetu. Kwa mwendo huu kila kitu kitakuwa ghali hasa nishati ya mafuta. Gavana wa Benki Kuu unatakiwa kuchukua hatua za haraka.
Na wewe unawasema wenzako?Teuzi za kikada, makada wenyewe kichwan empty
BOT walishatoa taraarifa kwa kina sana dhidi ya upotoshaji wa aina hizo, usio na faida yoyote popote nchini,Lazima iwe dhaifu, kwa huu uchawa wa kina Tlaatlaah na ChoiceVariable usitegeme shilingi kuwa imara.
Tulipita vizuri tukiwa na COVID na shilingi ilikuwa stable,sasa hamna janga lolote,tunasingizia nini?BOT walishatoa taraarifa kwa kina sana dhidi ya upotoshaji wa aina hizo, usio na faida yoyote popote nchini,
hata hivyo,
kwa Taifa makini na lenye viongozi madhubuti wenye maono kama Dr.Samia Suluhu Hassan,
changamoto zote za kiuchumi, hata kama ni za kizushi, but huchukuliwa na kutumika kama ya fursa ya kua na mipango mikakati makini zaidi, na kujiimarisha zaidi kiuchumi kama nchi kupitia taasisi na wizara husika.
so,
hakuna haja ya kubabaika na mambo madogomadogo kama haya gentleman
kama taifa tupo vizuri kiuchumi, kisiasa na kijamii, na kwakweli tunaendelea vizuri zaidi kusonga mbele pamoja gentlemanTulipita vizuri tukiwa na COVID na shilingi ilikuwa stable,sasa hamna janga lolote,tunasingizia nini?
Kwanza usipende kutumia Dr kwa mtu ambae amepewa udaktari wa heshima, it makes no sense. Wacha watu waliosomea udaktari wa bonadamu tuwape heshima hiyo.BOT walishatoa taraarifa kwa kina sana dhidi ya upotoshaji wa aina hizo, usio na faida yoyote popote nchini,
hata hivyo,
kwa Taifa makini na lenye viongozi madhubuti wenye maono kama Dr.Samia Suluhu Hassan,
changamoto zote za kiuchumi, hata kama ni za kizushi, but huchukuliwa na kutumika kama ya fursa ya kua na mipango mikakati makini zaidi, na kujiimarisha zaidi kiuchumi kama nchi kupitia taasisi na wizara husika.
so,
hakuna haja ya kubabaika na mambo madogomadogo kama haya gentleman
gentleman,Kwanza usipende kutumia Dr kwa mtu ambae amepewa udaktari wa heshima, it makes no sense. Wacha watu waliosomea udaktari wa bonadamu tuwape heshima hiyo.
Pili usipende kuandika vitu usivyo na uelewa navyo, shilingi inaporomoka na hakuna propaganda za kujisafisha zaidi ya kufanya regulations kurekebisha hiyo hali.
Tatu acha kuwa chawa.
Leo tumehabarishwa na Benki Kuu ya Tanzania(BOT) jinsi shillingi ya Tanzania bado ni HIMILIVU. Binafsi mimi sikuelewa maelezo yao lakini cha ajabu leo Dollar moja ya Kimarekeani ni Tshs.2,642.934 na wiki ijayo si ajabu utakuta Dollar moja ya Kimarekani itakuwa Tshs.3,000. Bado thamani ya shillingi yetu inashuka dhidi ya majirani zetu. Kwa mwendo huu kila kitu kitakuwa ghali hasa nishati ya mafuta. Gavana wa Benki Kuu unatakiwa kuchukua hatua za haraka.