Atakufa njaa, mwacheni na ushamba wake
Too used
Analambalamba tu anyonye wapi sasa
Hapana, haifai kulaani binaadam mwenzio, hujafa hujaumbika nawe pengine una mabinti hujuwi watakuaje, na Mwenyeezi Mungu ametuwekea wazi milango ya toba.
Ni wakumsikitikia na kumuombea aongoke.
Ambae hasameheki ni yule mwenye kufanya shirk.
Huyu demu kumbe ni bonge la mshamba!!! Naona analazimisha umaarufu kwa kuudhalilisha mwili wake!
( shilole tu dans
antwerpen) yaani Shilole atikisa
Antwerpen
Kyala atutule.
Huyu shilole ana mtoto kweli?
Wasanii wa kike bongo hapa ni zero brain.......75% of them
Nasikia ametangaza nia kugombea ubunge huko Tabora kupitia chama cha kawaida!