Shilole aamua kuonyesha minyonyo Ubelgiji

Shilole aamua kuonyesha minyonyo Ubelgiji

Kama enzi hizo izo nido za shishi zilikua MINYONYO haya ya masha love saivi yangeitwaje?
 
Dada yetu Shishi Beibe aamua kuonyesha minyonyo yake baada ya show kubuma Ubelgiji. Ushauri kwa wasanii wetu muziki wetu bado sana nje ya Africa kazeni kwanza hapa huko Ulaya na America hebu waachieni kwanza kina JAy Z na wengineo wenye ubavu la sivyo kuna siku mtacheza uchi kabisa jukwaani ili kuridhisha mashabiki.

Shame on you Shilole


View attachment 251044 View attachment 251045 View attachment 251046
Ndiyo baadae wapumbavu kama hawa wanapewa vyeo ccm na kutuchafulia ikulu kwa kuuza hadi bandari zetu [emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90]
 
Back
Top Bottom