Shilole aamua kuonyesha minyonyo Ubelgiji

Shilole aamua kuonyesha minyonyo Ubelgiji

Kwani kuonyesha matiti kuna ubaya gani. Haya mambo yanategemea utamaduni wa kabila husika. Tanzania kuna makabila kedekede ambayo hakuna aibu matiti kuwa nje. Nenda Ukuryani uone wanavyoonyesha matiti na si dhambi au utovu wa adabu. Nenda umasaini pia ukajionee hayo. Nchi nzima ya Afica kusini, Botwasana, Swaziland, Lesotho, Namibia Sudan ya Kusini, Sehemu ya Ethiopia matiti kuwa nje ni kawaida. Pia kuna makabila mengi Africa yanayoficha matiti. Hii ni jadi yao. Kwa hiyo msanii kuficha au kutoficha matiti haionyeshi kutofuata mila na tamaduni za kiafrika kwa sababi mila na tamaduni zinatofautiana. Mbona hakuna nayekemea singeli, na michezo mingine ya pwani ambapo wanaume kwa wanawake wanakata viuno na kutingisha matako. Kwani aliyofanya Shilole ina tofauti gani na singeli? Si afadhali huko analipwa lakini huku kwetu wachezaji huishia kupata gongo tu!
[emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106]
 
Haya maisha yanakimbia sana, miaka michache iliyopita alikwa binti mbichi, hivi sana jimama bonge
Screenshot_20230106-105248.jpg
 
Back
Top Bottom