Shilole aamua kuonyesha minyonyo Ubelgiji

Mewata
Nje Nje
Tanzania Ni Tajiri
πŸ˜€πŸ˜πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜ƒπŸ˜„πŸ˜…
 
Jamani hayo zamani.mbona alikuja kubadilika. Ni wife material na anajishuhulisha ni mchapakazi hategemei kuhongwa. Kama aliyafanya ilikuwa zamani
Shida ni kufanya kazi za watu wengine kama kulea watoto wadogo
Nuh
Photographer
 
Kwani kuonyesha matiti kuna ubaya gani. Haya mambo yanategemea utamaduni wa kabila husika. Tanzania kuna makabila kedekede ambayo hakuna aibu matiti kuwa nje. Nenda Ukuryani uone wanavyoonyesha matiti na si dhambi au utovu wa adabu. Nenda umasaini pia ukajionee hayo. Nchi nzima ya Afica kusini, Botwasana, Swaziland, Lesotho, Namibia Sudan ya Kusini, Sehemu ya Ethiopia matiti kuwa nje ni kawaida. Pia kuna makabila mengi Africa yanayoficha matiti. Hii ni jadi yao. Kwa hiyo msanii kuficha au kutoficha matiti haionyeshi kutofuata mila na tamaduni za kiafrika kwa sababi mila na tamaduni zinatofautiana. Mbona hakuna nayekemea singeli, na michezo mingine ya pwani ambapo wanaume kwa wanawake wanakata viuno na kutingisha matako. Kwani aliyofanya Shilole ina tofauti gani na singeli? Si afadhali huko analipwa lakini huku kwetu wachezaji huishia kupata gongo tu!
 
Kwa style hii,followers wengi utawapata tu hasa wabongo!
Zari alihangaika sana,ameimba sana!Amekuja kupata followers kibao baada ya kujihusisha na Diamond pamoja na drama kibao!
 
Haya maisha yanakimbia sana, miaka michache iliyopita alikwa binti mbichi, hivi sana jimama bonge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…