MEING'ATI JF-Expert Member Joined Feb 17, 2014 Posts 1,212 Reaction score 1,012 Aug 15, 2020 #81 Ochebe bhana. Aheshimu kazi ya watu. Mimi hata angekuwa wacheza pornogh ningeheshimu kazi yake tu maana hapa kazi tu
Ochebe bhana. Aheshimu kazi ya watu. Mimi hata angekuwa wacheza pornogh ningeheshimu kazi yake tu maana hapa kazi tu
Lububi JF-Expert Member Joined May 3, 2013 Posts 2,158 Reaction score 3,808 Aug 18, 2020 #82 Kuna aina ya wanawake kwa walivyo na maisha yao unapata wapi ujasiri wa kumgeuza mke? Mtu kamili hutafuta pesa ili impe heshima. Sasa unapooa anayeuza heshima apate pesa unatarajia nn! Labda uwe kwenye mission maalum.
Kuna aina ya wanawake kwa walivyo na maisha yao unapata wapi ujasiri wa kumgeuza mke? Mtu kamili hutafuta pesa ili impe heshima. Sasa unapooa anayeuza heshima apate pesa unatarajia nn! Labda uwe kwenye mission maalum.