Shilole alistahili kipigo cha Bw. Uchebe

Shilole alistahili kipigo cha Bw. Uchebe

Ochebe bhana. Aheshimu kazi ya watu. Mimi hata angekuwa wacheza pornogh ningeheshimu kazi yake tu maana hapa kazi tu
 
Kuna aina ya wanawake kwa walivyo na maisha yao unapata wapi ujasiri wa kumgeuza mke? Mtu kamili hutafuta pesa ili impe heshima. Sasa unapooa anayeuza heshima apate pesa unatarajia nn! Labda uwe kwenye mission maalum.
 
Back
Top Bottom