Shilole amchana Alikiba

Shilole amchana Alikiba

Amedumaa kimziki Hadi madogo kina rayvan na zuchu Wana mpiga gap amebaki kujiita tu king

wanampita mafanikio ya kufanyaje!!!!

acheni uduanzi bana,usiforce unachoona wewe kiwe sawa kwa kila mtu.
nyimbo za kwa mparange hizo ndio unaita mafanikio!!!
 
Siku zote mtu akikudiss ni busara kunyamaza, ukimjibu huyo mtu kwa busara maana yake anakosa power ya kuendeleza maneno, lakini ukireact vibaya, inamaanisha kwamba huyo mtu ana power na control juu yako, na utazidi kuonekana wa ajabu kadri unavyoreact.
Siwezi kusema nani kakosea, kwa sababu sifahamu chochote kuhusu maisha yao, lakini mashindano na watu hayana maana, shindana na nafsi yako tu.
 
kiba kama binaadam wengine hawezi kuwa mvumilivu muda wote.

halafu mtu anayeweza kukujaza upepo kizembe kabisa ni yule mnayefahamiana naye vyema.
 
Mpinge kwa facts, followers ni moja ya kigezo cha popularity ya mtu husika. Wale followers ni watu na si mbuzi.
Diamond anafollowers wengi inster kuliko burna boy Nani maarufu kuliko mwenzake
 
Nyimbo zake mbona zinafanya vizuri Sana mtaani Acha chuki
Mtaa gani huo we kubali tu kiba kaisha Unaweza kufananisha na kipindi kile Cha aje.kipindi hiki Ngoma zinazosikika Sana ni za Diamond, Rayvann, Harmonize, Zuchu, Nandi,MARIOO na Mbosso
 
  • Thanks
Reactions: Qwy
kiba kama binaadam wengine hawezi kuwa mvumilivu muda wote.

halafu mtu anayeweza kukujaza upepo kizembe kabisa ni yule mnayefahamiana naye vyema.
Nakubaliana na wewe uvumilivu una kiwango chake, lakini kurushiana maneno na mwanamke ni kujishushia CV yako tu, kwa sababu wanawake wengi wanachoongea kwenye mabishano hakipitii kichwani kwanza ni wanatapika maneno tu. Lazima tu katika mabishano atakushinda au atapress button siyo. Kama unavyoona akaingiza mpaka ishu za Nasibu. Na mwanamke ukibishana naye lazima uumbuke tu.
 
Nawakubari wote, tatizo moja kwa kiba anaDumba sana kwenye kitu hamna.. Mondi ameshampiga gepu kubwa sana, umaarufu adi kimfuko,

Kiba dharau, kujiona, kujitutumua n.k

Kiba badirika bro, you're the best ata kama jina linabustiwa kwa nguvu zote na machawa
 
  • Thanks
Reactions: Qwy
wanampita mafanikio ya kufanyaje!!!!

acheni uduanzi bana,usiforce unachoona wewe kiwe sawa kwa kila mtu.
nyimbo za kwa mparange hizo ndio unaita mafanikio!!!
Kiba kazidiwa Hadi dhambi na madogo wa juzi mkuu.
 
  • Thanks
Reactions: Qwy
Yule aliyetengeneza video ya Yesu akaiweka maneno kama Shilole kavamia party ya Kiba, aisee natamani nimjue nimpe hata hug tu,

Amejua kunichekesha sana

Wabongo kwa vituko hatuna mpinzani
 
Neno moja tu la King, "SIJAMUALIKA"
Kibanda cha Voda kimefanya interview karibu medias zote, bado kwenda BBC na Aljzeera tu,

Lol
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Na wafuasi wake povu linawatoka hatari, wanatamani wammeze.
 
Ali kiba ndivyo alivyo . Sio mtu wa kupenda kwenda mbali
Mziki wake ukipendwa East Africa kwake ameridhika. Sio mtu wa kujionyesha. Mlijaribu kum compare na diamond wakati yupo tofauti. Diamond anapenda kwenda mbali zaidi. Na kupata mafanikio zaidi. Ila kwa miaka yote ya mziki amejitahidi mpaka Leo ku survive
 
Back
Top Bottom