Numbers don't lie, acha makasiriko. Ukimjibu kwa solid facts nitakuele(I bet you can) lakini si kukimbilia kwenye mipasho.
Hiyo itamke kama Restaurant utaeleweka lakini siyo hotel. Ndani ya hotel kunapatikana usingizi, bar na hiyo migahawa ( restaurant)Hotel za vyakula( migahawa)..Shishi foods. Watu wanadharau biashara ya chakula.. lakin hakuna biashara Ina faida kama ya chakula. Kuna hotel naijua Arusha, chai na vitafunio tu mpaka asubuhi ya saa 5 anakuwa ameishapata faida ya laki 4...sasa niambie huyo dada ana hotel 2
Shilole amesema Ali Kibamia hana hela ya kumzidi yeye. Kitu ambacho ni kweli. Kwa hotel 2 za Shishi..kulaza kila siku Milioni 3 faida, sio ajabu. Hasa ukizingatia kuwa biashara ya chakula ina faida sana. Ali Kibamia hana biashara yoyote ya kumuingizia hizo hela. Mi nashangaa jamaa huwa ana madharau sana lakin hana kitu yoyote. Na hiyo ndo Ina mcost, Wenzake kina diamond na harmonize wapo marekani sasaiv wanapiga show, yeye yupo tu hapa bongo anajibishana na mademu ambao wamemshinda hela. Stupid!
Kwa siku 3M faida.....?Shilole amesema Ali Kibamia hana hela ya kumzidi yeye. Kitu ambacho ni kweli. Kwa hotel 2 za Shishi..kulaza kila siku Milioni 3 faida, sio ajabu. Hasa ukizingatia kuwa biashara ya chakula ina faida sana. Ali Kibamia hana biashara yoyote ya kumuingizia hizo hela. Mi nashangaa jamaa huwa ana madharau sana lakin hana kitu yoyote. Na hiyo ndo Ina mcost, Wenzake kina diamond na harmonize wapo marekani sasaiv wanapiga show, yeye yupo tu hapa bongo anajibishana na mademu ambao wamemshinda hela. Stupid!
Kwa siku 3M faida.....?
Kwa wiki 21M kwa mwezi 84M.
Toa hizo 4M ibaki 80M.
Unaona shilole anafanana na mtu anayeingiza 80M kwa mwezi?
Kwa mgahawa upi?
Umewahi fika hapo mgahawani kwake?
Hakuna anayezitetea numbers, zinajitetea zenyewe.Mipasho na makasiriko ni kukuuliza mafanikio gani!!!
Ali anaishi maisha yake tofauti kabisa na wasanii wa hapo wcb,nikikuuliza namba gani unazungumzia hapa utataja youtube na sportfy au huko apple music[emoji1787][emoji1787][emoji1787].yale yale ya shilole na kumzidi kiba followers wa instagram.
Kama namba ni kweli zina sauti namna hiyo huna haja wewe kuzisemea,wacha zijitetee.
Hakuna anayezitetea numbers, zinajitetea zenyewe.
The goon is full of himself lakini hana chochote zaidi ya stupid pride, hili saga ndiyo limefungua macho wengi ku scrutinize kati ya Shilole na Kiba nani anatengeneza mshiko zaidi ya mwenzie.
Acha waendelee kuchambana hata kama itakuwa ni kwa kutumia puppets kwani ndivyo wanavyozidi kujivua nguo, wamekutana wote watu wa mipasho, mmoja talkative na mwingine wa kuuma na kupuliza.
Kiba hawezi kushushwa na wapuuzi Kama wewe!Hakuna anayezitetea numbers, zinajitetea zenyewe.
The goon is full of himself lakini hana chochote zaidi ya stupid pride, hili saga ndiyo limefungua macho wengi ku scrutinize kati ya Shilole na Kiba nani anatengeneza mshiko zaidi ya mwenzie.
Acha waendelee kuchambana hata kama itakuwa ni kwa kutumia puppets kwani ndivyo wanavyozidi kujivua nguo, wamekutana wote watu wa mipasho, mmoja talkative na mwingine wa kuuma na kupuliza.
Sasa alikiba ashushwe Mara ngapi wakati kashajifia na nafasi yake kachukua kondeboyKiba hawezi kushushwa na wapuuzi Kama wewe!
kwani kapoteza nini?Ali ni very poor kwenye kujenga/kuwasilisha hoja...si muongeaji mzuri...ilibidi apate ushauri wa namna ya kuwasilisha hoja yake hata kama ilikuwa ni kujibu mashambulizi...au la basi angenyamaza tu na wala asingepoteza kitu.
diamond anahemea makalio, unasema kajifia?Sasa alikiba ashushwe Mara ngapi wakati kashajifia na nafasi yake kachukua kondeboy
Mzee wa porn ni haki yako kutowajua haoHao kina shilole na Ali kiba ndo kina Nani hapa mjini?
Umeandika kana kwamba kila mtu humu anawafahamu
You're very stupid, nimshushe niko kwenye music industry au haya mambo mepesi yanayoandikwa humu unayachukulia personal.Kiba hawezi kushushwa na wapuuzi Kama wewe!
The stupid punk is still in total darkness, mfungue macho.Sasa alikiba ashushwe Mara ngapi wakati kashajifia na nafasi yake kachukua kondeboy
Kipi hapo? Ukweli unakuwa hasira? Na nyinyi mashabiki wake ndo mnampoteza, maana kila analofanya ni sawaHuu ni ujinga umeandika hapa.
Kiba anawezakuwa kafanya upuuzi kama binaadam mwingine,ila wewe hapa umeandika kwa hasira.
Shilole ana hotel!!! Ile ni migahawa wewe,[emoji23]Shilole amesema Ali Kibamia hana hela ya kumzidi yeye. Kitu ambacho ni kweli. Kwa hotel 2 za Shishi..kulaza kila siku Milioni 3 faida, sio ajabu. Hasa ukizingatia kuwa biashara ya chakula ina faida sana. Ali Kibamia hana biashara yoyote ya kumuingizia hizo hela. Mi nashangaa jamaa huwa ana madharau sana lakin hana kitu yoyote. Na hiyo ndo Ina mcost, Wenzake kina diamond na harmonize wapo marekani sasaiv wanapiga show, yeye yupo tu hapa bongo anajibishana na mademu ambao wamemshinda hela. Stupid!
Biashara gani anayo unayoijua wewe!! Yaani unaweza kuwa na jina halaf uwe a biashara halaf ufiche?;Sasa utapataje wateja? Umewahi kuona wapi? Akili za kiutopolo 🚮🚮🚮Shilole ana hotel!!! Ile ni migahawa wewe,[emoji23]
Eti Kiba hana biashara yoyote hahahaa tatizo mnatamani aweke maisha yake wazi na hafanyi hivyo ng'oooo, mlitangaza kaachana na mkewe matokeo yake kawaletea baby number 2 na Bi Amina,
Privacy ya Kiba inawaumiza mnooooo, na badoooooo hadi muwehuke.
Kipi hapo? Ukweli unakuwa hasira? Na nyinyi mashabiki wake ndo mnampoteza, maana kila analofanya ni sawa
Biashara gani anayo unayoijua wewe!! Yaani unaweza kuwa na jina halaf uwe a biashara halaf ufiche?;Sasa utapataje wateja? Umewahi kuona wapi? Akili za kiutopolo [emoji706][emoji706][emoji706]