Shilole amchana Alikiba

Shilole amchana Alikiba

Wewe una una akili za shake well before use, kama Ali alimwalika Shilole why akane hakumwalika? huu si ndio uboya wenyewe?
Na mpaka alipewa nafasi ya kuongea.
IMG_20211029_175958.jpg
 
Kwenye page ya michuzi naona ameweka audio ya nyimbo mpya ya Shilole, isijekuwa wanatuachezea akili zetu?

Maana hawa Bongo Mavi na Bongo fleva ni kusanyika la majitu majinga mengi.
Shilole katoa wimbo na Kiba kaachia video, jiongeze.
Wanajifanya hawapendi 'kiki' whilst busy creating them kwa kuwaona fans wao ni mafala.
Stupid fanatics won't agree on this.
 
Muandiko huu si wa Shilole, ni kama mwanaume ndio kaandika kutokana na mpangilio wa mawazo na mtiririko wa maudhui yaliyomo.

Hata kama alichoandika ni sahihi ama sio, bado andiko hili limekqa vizuri. Bila shaka ni Mwanasheria wake ama chawa wake Msomi ndio kaandika na Shihibebi kabandika tu.

Shilole hana "akili" za andiko hili!
I noted that too.
 
Umeongeza chumvi...

Kilichotokea mwanzo wake ni Esha Busheti kumlalamikia Kiba kwamba hakumpa attention kwenye listening party!! Ikaonekana Kiba hakumpa attention Esha kwa sababu ya Shilole!!

99% ya interview unayoisema, Shilole alimlenga Esha, na mwishoni kabisa mwa interview, ndipo Shilole akasema "...yaani yeye... yeye mwenyewe nimemzidi followers. Anayemzungumzia, nimemzidi followers"!

Huyo "yeye" ni Esha!!

Na kimsingi, hoja ya Shilole ilikuwa kumshangaa Esha kwanini ka-mind alichodai hakupewa attention!
Umefafanua bila kutia chunvi, hakutaja jina la Kiba though alimu-implicate. Mwanaume yoyote angelipotezea lipite lakini kumbe wote walikuwa na projects za kuachia.
 
What is this?!! Don't you young men and women have something better to do!?insteady of westing time on this personal none monetary issues.
This is the damn gossip page, majukwaa mengine yako available pia. It's your choice.
 
Muandiko huu si wa Shilole, ni kama mwanaume ndio kaandika kutokana na mpangilio wa mawazo na mtiririko wa maudhui yaliyomo.

Hata kama alichoandika ni sahihi ama sio, bado andiko hili limekqa vizuri. Bila shaka ni Mwanasheria wake ama chawa wake Msomi ndio kaandika na Shihibebi kabandika tu.

Shilole hana "akili" za andiko hili!
Kwakweli.
 
Ni kweli lakini kwanini alisema wakati yule ni 'mfalme'.
Sio hilo tu, aliwahi pia kusema kazini kwake anapiga nyimbo za wasanii wote isipokuwa za Kiba tu. Hizi chokochoko inaonekana zilianza kitambo na yawezekana there is more than what we know.
 
Sio hilo tu, aliwahi pia kusema kazini kwake anapiga nyimbo za wasanii wote isipokuwa za Kiba tu. Hizi chokochoko inaonekana zilianza kitambo na yawezekana there is more than what we know.
Kwahiyo kama hazipigi haruhusiwi kusema, aishi kiunafiki na kiuoga kwa kuwa ni 'king'?
It's true wao si marafiki lakini kwa mwanaume kuingia kwenye mipasho na mwanamke ni jambo la aibu, sasa You Tube watu wanawachambua nani mwenye maisha zaidi ya mwenzie au nani ameajiri watu wengi zaidi ya mwenzie issues which are irrelevant.
Mambo ya aibu lakini kwa kuwa mmoja katoa wimbo leo na mwingine kaachia video we can't really know what's behind all this fracas, they 'could' be playing a game.
 
Kwahiyo kama hazipi haruhusiwi kusema, aishi kiunafiki na kiuoga kwa kuwa ni 'king'?
It's true wao si marafiki lakini kwa mwanaume kuingia kwenye mipasho na mwanamke ni jambo la aibu, sasa You Tube watu wanawachambua nani mwenye maisha zaidi ya mwenzie au nani ameajiri watu wengi zaidi ya mwenzie issues which are irrelevant.
Mambo ya aibu lakini kwa kuwa mmoja katoa wimbo leo na mwingine kaachia video we can't really know what's behind all this fracas, they 'could' be playing a game.
Na king kusema yeye hakumualika maybe ni team yake ndio ilimualika kuna tatizo? Si ni kweli hakumualika!

Hajarushiana nae maneno, aliulizwa swali akajibu.
 
Na king kusema yeye hakumualika maybe ni team yake ndio ilimialika kuna tatizo? Si ni kweli hakumualika!

Hajarushiana nae maneno, aliulizwa swali akajibu.
Kiba Amekuwa mtu wa kiki kweli mziki umekuwa mgumu sana
 
  • Thanks
Reactions: Qwy
Matola aliandaa hadi kamati ya kumualika kiba ajiunge JF ili awe in touch na mashabiki zake. Ila leo matola huyuhuyu anamchamba kiba, kweli dunia hadaa😅😅😅
Wala sina tatizo naye ila nimemshangaa sana, kana tabia za kidemudemu sana.

Jiulize kwenye hiyo party ulimuona mke wake?

Licha ya kwamba huyo Shilole ndio walewale lakini ni mwanamke ambaye anapambana sana kwa kiasi chake si jambo jema kumletea hizi tabia za udhalilishaji.
 
Back
Top Bottom